Ndio maana nimekwambia Mungu ni roho , huo mwili ulikufa na Yesu akaufufua mwenyewe aliuacha ufe , Uungu wa Yesu sio huo mwili uungu wa Yesu upo ndani ya huo mwili,Hi ni kwa wanadamu wote hata wewe, mwili una oza unaisha ila roho haifi. Maana nayo elezea hapa ni kile kotendo cha kifo na mwili kuoza, hii ni sifa ya kiumbe na si mungu. Unatakiwa uelewe hilo.
Yaani sifa aliyo nayo Yesu na wewe unayo hiyo hiyo, tofauti yako na yeye ni kuwa yeye alikuwa nabii na alizaliwa kama wewe ila kwa mzazi mmoja.
Lakini andiko hilo mwisho linasema ya kuwa hiyo ni amri ameipokea toka kwa baba yake, kwa maana hakuna analo fanya Yesu kwa uwezo wake.
18 Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”
Kutetea maandiko yenu ni kazi sana, yaani mpaka maandiko yenu wenyewe mnapindisha maana.
Tuanzia hapa kwanza nipe maana ya Allah kusema Mungu ni Mwanga, na je hii sifa allah aliosema Mungu ni mwanga inaweza ku apply kwa kitu ambacho si Mungu?Kijana naona unajitoa ufahamu, haya tupe maana ya mwanga wa Yesu katika andiko hilo, nataka uone ujinga wako ulipo.
Hili halijaisha kijana. Sababu naona unapotea kwa kujitakia.
Kama kuna ansiko lolote dijakujibu nikumbushe nikujibu.
Nimekuomba andiko Muhammad akisema yeye ni kweli na Uhai, Je sifa ya kweli inapewa nani?Safi kabisa, sasa kijana maana ya njia nani haijui au nikuulize yeye ni njia ya kuelekea wapi ? Njia ni sehemu ambayo watu hupita kuelekea sehemu fulani, kwahiyo inabaki ya kuwa Yesu alikuwa njia kuelekea kwa Mola yaani kumtii Mola, na hii ni kauli maarufu kwa mitume na manabii.
Kingine siyo lazima liwepo andiko kama hilo, sababu uhai katika vitabu vya Allah imekuja kwa maana nyingi, maana ya uhai kimaana na kihisia, kimaana inaingia hata kwa mtu mjinga husemwa ni mfu.
Kwahiyo maana ya uzima hapo haimaanishi yeye hafi.
Hata wewe ni roho na roho haifi kijana, ila kifo ni hatua katika kuufikia ukamilifu ndiyo maana Yesu kwa itikadi yenu alikufa na akafufuka ila kwetu sisi bado yuko hai ila atarudi na atakufa, Mola ameepukana na kifo yaani hafi kwa namna yoyote ile.Ndio maana nimekwambia Mungu ni roho , huo mwili ulikufa na Yesu akaufufua mwenyewe aliuacha ufe , Uungu wa Yesu sio huo mwili uungu wa Yesu upo ndani ya huo mwili,
Unapata shida kuelewa maana unajua Allah ni Physical crature sasa unajaribu kuweka nature yake kwa Jehova
Hili nimeshalelezea huko juu soma nilichokiandika.Nimekuomba andiko Muhammad akisema yeye ni kweli na Uhai, Je sifa ya kweli inapewa nani?
Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Acha kunywa mkojo wa ngamia unakufanya uelewa wako uwe chini Mungu ni roho na Mungu hafi uliokufa ni human flesh hili tumemalizaHata wewe ni roho na roho haifi kijana, ila kifo ni hatua katika kuufikia ukamilifu ndiyo maana Yesu kwa itikadi yenu alikufa na akafufuka ila kwetu sisi bado yuko hai ila atarudi na atakufa, Mola ameepukana na kifo yaani hafi kwa namna yoyote ile.
Kingine unaposema mwenyewe siyo kweli nukuu andiko lenu kamailivyo kuja, kwamba hiyo ni amri amepewa na Baba yake yaani Mola, maana yake bila amri hiyo hana uwezo wa kufanya hivyo. Sasa kijana kumbe hii tabia ya kubananga maandiko unaifanya mpaka kwenye maandiko yenu.
Hakuna shida nayo pata hapi ndiyo maana kuna maisha ya kaburini, hii inathinitisha ya kuwa kifo ni hatua na kila kisichi Mola lazima kife, ndiyo maana Yesu alikufa kwa mujibu wa maandiko yenu, na akafufuka.
Sasa huo mwili mbona hauonyeshi uungu wowote sababu kila hakifanyi kwa uwezo wake, uungu wa Yesu uko wapi hapo ?
Ndiyo na ndiyo maana hata wema huitea nuru kama ilivyo kuja katika Qur'aan tamko hili limekuja mara 45 na lina maana ya kihisia na kimaada. Ndiyo maana elimu nayo huitwa mwanga.Tuanzia hapa kwanza nipe maana ya Allah kusema Mungu ni Mwanga, na je hii sifa allah aliosema Mungu ni mwanga inaweza ku apply kwa kitu ambacho si Mungu?
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Hili nimeshakuelezea yeye ni mwanga kwa maana ya kile alichotumwa kwacho, yaani elimu ya kuwatoa watu katika giza la ujinga na kuwapeleka katika nuru ya elimu.Yesu anaweka wazi tena anajitaja kabisa yeye ndio mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Hakuna maali umejibu, alafu weka majibu kwa kifupi usiweke maelezo marefu hayana poitnHili nimeshalelezea huko juu soma nilichokiandika.
Kijana Roho haifi mzee, ila Mola hafi kwa namna yoyote si ya kimwili wala ya nini.Acha kunywa mkojo wa ngamia unakufanya uelewa wako uwe chini Mungu ni roho na Mungu hafi uliokufa ni human flesh hili tumemaliza
Tumemaliza ,Allah anamtaja Mungu ni Mwanga wa ulimwengu na Yesu anajitaja .“Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu"Ndiyo na ndiyo maana hata wema huitea nuru kama ilivyo kuja katika Qur'aan tamko hili limekuja mara 45 na lina maana ya kihisia na kimaada. Ndiyo maana elimu nayo huitwa mwanga.
Tofauti ni moja tu ya kuwa sifa za Mola wetu ni kamilifu, Mola anasikia na kuona, ila kuona kwake na kusikia kwake ni kamili.
Hili nimeshakuelezea yeye ni mwanga kwa maana ya kile alichotumwa kwacho, yaani elimu ya kuwatoa watu katika giza la ujinga na kuwapeleka katika nuru ya elimu.
Hilo nimelijibu tena kwa ufasaha sana, soma tena.Hakuna maali umejibu, alafu weka majibu kwa kifupi usiweke maelezo marefu hayana poitn
Leta andiko mtume yeyeto kasema haya aliyosema Yesu
Nimekuomba andiko Muhammad akisema yeye ni kweli na Uhai, Je sifa ya kweli inapewa nani?
Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Manadiko ni mengi anza ni hili,Kijana Roho haifi mzee, ila Mola hafi kwa namna yoyote si ya kimwili wala ya nini.
Yesu uungu mnampa nyinyi, ukiangalia maandiko yenu ila anasoma Yesu lazima aliegemeze kwa Mola.
Nakupa kazi weka andiko lolote ambalo Yesu haliegemezi kwa Mola.
ni pepo, limetoka kwenye nyumba A likahamia kwenye nyumba B. why nasema hivi? hiyo dini yako ya kwanza ni upotofu, sio ya kweli na haitakufikisha mbinguni, itakupeleka moja kwa moja motoni. pia, hiyo ya roma na maji ya baraka sijui nini nini maria sijui nini, hiyo pia ni shortcut nyingine ya kukupeleka motoni moja kwa moja.Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaidi ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya Kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mkristo mama yangu ndiyo Muislam.
Bahati mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielewi kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasababu dini ya Kiislam naijua nimesoma madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zamani nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipendi kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumbani na natumia maji ya baraka wakati mwingi nahisi kabisa yananisaidia, halafu nikiwa kanisani nina amani zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubiri ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumbani redio nasikiliza redio Maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sasa hivi ndiyo nazidi kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu natamani waanze mafundisho, au kuna sehemu sijielewi?
Swali lipo palepale weka andiko Muhammad akisema yeye ni kweli na uhai embu jibu kama huna jibu kiri tuendelee na mengineHilo nimelijibu tena kwa ufasaha sana, soma tena.
Ilikuwa hivi mpaka Yesu akasema hayo maneno :
14 Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. 2 Katika nyumba ya baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia makao. 3 Na nikishawaandalia, nitarudi kuwachukua mkae pamoja nami; ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo. 4 Ninyi mnajua njia ya kufikia ninakokwenda.” 5 Tomaso akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda; tutaijuaje njia?” 6 Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. 7 Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”
Yaani uungu Yesu mmempa nyinyi siyo yeye.
Hujajibu swali langu la maana ya Yesu kuwa mwanga wa ulimwengu.Tumemaliza ,Allah anamtaja Mungu ni Mwanga wa ulimwengu na Yesu anajitaja .“Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu"
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Allah kashakupa Jibu Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....Hujajibu swali langu la maana ya Yesu kuwa mwanga wa ulimwengu.
Kijana nataka huo mwanga wa Yesu ni wa kimaana au kimaanda ? Kijana usikimbie swali.Allah kashakupa Jibu Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Mbona majibu ya Allah yapo wazi nini usichoelewa au hupendi majibu ya AllahKijana nataka huo mwanga wa Yesu ni wa kimaana au kimaanda ? Kijana usikimbie swali.