Naomba ushauri kuhusu dini

🤣 ndio maana mara nyingi nakufundisha usilete nature ya mungu wako allah ambae ni phyical kwa Mungu Jehova
Yesu Mungu with human flesh ,sasa ulitaka asemeje kuhusu mwili alionao, alafu utuambie binadamu anakuwaje anamiliki malaika
 
Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,
Hili andiko kadhalika liko wazi, na sijaelewa umeliweka hap kwa minajili gani, sababu hapo lina muongelea Mola mwenyewe muumba wa mbingu na ardhi. Maana yake kila kitu kimepangwa na Mola mpaka huo wakati.
 
🤣 ndio maana mara nyingi nakufundisha usilete nature ya mungu wako allah ambae ni phyical kwa Mungu Jehova
Yesu Mungu with human flesh ,sasa ulitaka asemeje kuhusu mwili alionao, alafu utuambie binadamu anakuwaje anamiliki malaika
Unakubali Yesu ametokea katika uzao wa Daudi ?

Sifa za Mola muumba pia zimetajwa humo humo katika mandiko uenu kwamba ni muumba wa mbingu na ardhi na anajua kila kitu. Lakini Yesu mwenyewe amelithibitisha hilo.

Hakuna Mungu anaye kufa wala mungu mwenye umbile la binadamu. Sasa nataka unijibu Yesu ni wa uzao wa daudi au unakataa ? Daudi aikuwa Mungu ?
 
Sifa ya Nuru ni ya Mungu tu acha tuliza akili naona unanza kukufuru
Allah anasema Mungu ni mwanga Yesu anajibu Mimi ndimi mwanga

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Mfano wa maneno ya Yesu ni kama mfano wa maneno ya Mtume, kwamba tukimtii yeye Mtume ndiyo tumemti Mola wa ulimwengu. Hizi kauli walikuwa wanazitumia mitume na manabii wote, kwahiyo hazionyeshai kwa namna yoyote uungu wa Mtume, ingekuwa hivyo basi mitume wote wangekuwa ni Mungu.
 
Human flesh ni uzao wa Daudi , Mungu hafi kilicho uliwa ni human flesh na Yesu mwenyewe alisema anauacha mwili ufe na anaufufua
John 10:18 No man taketh it from me, but I lay it down of myself. I have power to lay it down, and I have power to take it again.
 
leta andiko muhammad akisema yeye ni Ukweli na Uhai
Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Hii si kweli hata jua nalo ni Nuru kadhalika hata elimu husemwa ni Nuru. Sasa hapa utakiri maandiko yenu ya uongo.

Huwa sipendi kutumia maandiko yenu sababu yana uongo mwingi.
 
Hii si kweli hata jua nalo ni Nuru kadhalika hata elimu husemwa ni Nuru. Sasa hapa utakiri maandiko yenu ya uongo.

Huwa sipendi kutumia maandiko yenu sababu yana uongo mwingi.
Unataka kutuambia Allah anaposema Mungu ni mwanga ni kama jua? embu tuliza akili kijana

Allah anasema mwenyewe Mungu ni mwamga, Yesu anatoa jibu Mimi ndimi mwanga
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
leta andiko muhammad akisema yeye ni Ukweli na Uhai
Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Hahaha, nimecheka sana kwanza hujajibu kuhusu uzao wa Daudi.

Kingine kusema yeye ni uhai haimaanishi yeye anatoa uhai, sababu wapo wafu wanaotembea maana ya uhai hapo ni ujumbe unao huisha nyiyo.

Mfano wa aya hii, mngekuwa nyinyi Wakristo mngeitumia kama ushahidi wa uungu, ndiyo maana nasema mna matatizo ya akili.

"Na haiwi kwa Muumini mwanamume na wala kwa Muumini mwanamke, Anapohukumu Allaah na Rasuli Wake jambo lolote, iwe wana hiari katika jambo lao. Na anayemuasi Allaah na Rasuli Wake, basi kwa yakini amepotoka upotofu bayana. [Al-Ahzaab: 36]"

Kadhalika njia inayo ongelewa na Yesu ndiyo njia ambayo mtume aliamrishwa kuwafundisha watu, anasema Allah :

Na hivyo ndivyo Tulivyokuletea Ruwh (Qur-aan) kutoka amri Yetu. Hukuwa unajua nini Kitabu wala iymaan, lakini Tumeifanya ni Nuru, Tunaongoa kwayo Tumtakaye miongoni mwa waja Wetu. Na hakika wewe (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) bila shaka unaongoza kuelekea njia iliyonyooka. Njia ya Allaah Ambaye ni Vyake Pekee vyote vilivyomo mbinguni na vyote vilivyomo ardhini. Tanabahi! Kwa Allaah Pekee yanaishia mambo yote. [Ash-Shuwraa: 52-53]

Maana ya njia ni uelekeo wa kuelekea sehemu fulani au lengi fulani, ba uhai ndiyo hiyo maana niliyo kuwekea haoi juu, kwa namna yoyote maandiko yote unayo yaweka hayathibitishi uungu wa Yesu bali ni unabii.
 
Wewe unafikiri ni kama nini ? Hiyo ni fasihi sababu mwanga kazi yake kuangazia na kuona ambayo hukuyaona.

Sasa unataka kutuambia mwanga wa hapo ni mwanga kama mwanga ? Mwanga wa hapo ni mwanga kimaana kwa maana kuwapa watu elimu ya kuweza kujitambua na kujua yapi wafanye na yapi waache.

Ndiyo maana nikakwambia hata elimu nayo ni mwanga.
 
nakucheka sana, nimekuomba andiko muhammad anasema yeye muhammad ni Kweli na Uhai unaleta ngonjera refu , tena unambishia mpaka allah na kusema kweli sio sifa ya Mungu tu 🤣
Yesu hajasema kwamba yeye anaelekeza njia ila kasema yeye ndio njia

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Hilo tumemaliza
Allah anasema Mungu ni mwanga, Yesu anatoa jibu Mimi ndimi mwanga
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Hi ni kwa wanadamu wote hata wewe, mwili una oza unaisha ila roho haifi. Maana nayo elezea hapa ni kile kotendo cha kifo na mwili kuoza, hii ni sifa ya kiumbe na si mungu. Unatakiwa uelewe hilo.

Yaani sifa aliyo nayo Yesu na wewe unayo hiyo hiyo, tofauti yako na yeye ni kuwa yeye alikuwa nabii na alizaliwa kama wewe ila kwa mzazi mmoja.

Lakini andiko hilo mwisho linasema ya kuwa hiyo ni amri ameipokea toka kwa baba yake, kwa maana hakuna analo fanya Yesu kwa uwezo wake.

18 Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”

Kutetea maandiko yenu ni kazi sana, yaani mpaka maandiko yenu wenyewe mnapindisha maana.
 
Safi kabisa, sasa kijana maana ya njia nani haijui au nikuulize yeye ni njia ya kuelekea wapi ? Njia ni sehemu ambayo watu hupita kuelekea sehemu fulani, kwahiyo inabaki ya kuwa Yesu alikuwa njia kuelekea kwa Mola yaani kumtii Mola, na hii ni kauli maarufu kwa mitume na manabii.

Kingine siyo lazima liwepo andiko kama hilo, sababu uhai katika vitabu vya Allah imekuja kwa maana nyingi, maana ya uhai kimaana na kihisia, kimaana inaingia hata kwa mtu mjinga husemwa ni mfu.

Kwahiyo maana ya uzima hapo haimaanishi yeye hafi.
 
Hilo tumemaliza
Allah anasema Mungu ni mwanga, Yesu anatoa jibu Mimi ndimi mwanga
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kijana naona unajitoa ufahamu, haya tupe maana ya mwanga wa Yesu katika andiko hilo, nataka uone ujinga wako ulipo.

Hili halijaisha kijana. Sababu naona unapotea kwa kujitakia.

Kama kuna ansiko lolote dijakujibu nikumbushe nikujibu.
 
Upo sehem sahihi sana, ktk maisha kitu cha kuzingatia ni sauti inayoongea ndani ya MOYO wako.

Itakuwa kosa kubwa sana ukaiacha hyo saut ndan ya moyo wako inayokuongoza uende ukristo,yamkin kuna jambo mungu kakuepusha nalo ndo mana roho inakuelekeza nenda ukristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…