- Thread starter
- #41
Duuu,mbaya hiiBinamu yangu alibeba mimba akiwa jeshini baada ya form four na kozi fulani chuo. Matron alimrudisha bila hata taarifa nyumbani, tuliambiwa hataki chuo nauli itumwe arudishwe. Hakupewa mawasiliano kambini mpaka alipoanza safari. Mtoto wake wa kike sasa ana miaka 2 hivi.
Kambi iko Arusha sijui ni Makuyuni au kuna nyingine.