Naomba ushauri kuhusu Course ya jeshi

Naomba ushauri kuhusu Course ya jeshi

Dah mkuu unampenda bintiyo kama wampenda mwambie walau awe mwalimu afundishe jamii njema sio kwenda kuwa chakula cha wakubwa na mwisho magonjwa.
Mkuu,ninampenda sana,ngoja nitumie maarifa yote kumshawishi abadilishe mtazamo
 
Mkazanie afanye vizuri kwenye masomo ya sayansi alienda form 5&6 kabla ya chuo ataenda JKT kwa mujibu wa Sheria kule ataona japo Maisha ya jeshi kama atakuwa na moyo wa kupenda kazi hiyo.

Mpeleke nje ya nchi akapige Bachelor of Milltary Science akirudi huku au huko huko atapata kazi ya ndoto yake.
 
Binamu yangu alibeba mimba akiwa jeshini baada ya form four na kozi fulani chuo. Matron alimrudisha bila hata taarifa nyumbani, tuliambiwa hataki chuo nauli itumwe arudishwe. Hakupewa mawasiliano kambini mpaka alipoanza safari. Mtoto wake wa kike sasa ana miaka 2 hivi.

Kambi iko Arusha sijui ni Makuyuni au kuna nyingine.
 
Mkazanie afanye vizuri kwenye masomo ya sayansi alienda form 5&6 kabla ya chuo ataenda JKT kwa mujibu wa Sheria kule ataona japo Maisha ya jeshi kama atakuwa na moyo wa kupenda kazi hiyo.

Mpeleke nje ya nchi akapige Bachelor of Milltary Science akirudi huku au huko huko atapata kazi ya ndoto yake.
Bachelor of Military Science ujisomeshe tu kisha uje kuajiriwa jeshini.
Kwani Tz tuna private military contractors?
 
Mkazanie afanye vizuri kwenye masomo ya sayansi alienda form 5&6 kabla ya chuo ataenda JKT kwa mujibu wa Sheria kule ataona japo Maisha ya jeshi kama atakuwa na moyo wa kupenda kazi hiyo.

Mpeleke nje ya nchi akapige Bachelor of Milltary Science akirudi huku au huko huko atapata kazi ya ndoto yake.
Mkuu hiyo kozi ya military science hujipeleki mwenyewe kusoma,JWTZ ndo Wana 'mandate' ya kuchukua vijana na kuwapeleka kule kwa ajili ya kozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Majoajosh,
Kwanza hongera Sana Kwa kumpenda mtoto na hongera Kwa kuwa na mtoto mwenye vision, watoto wengi huenda enda tu kama upepo.
Kuhusu jeshi usimkatishe tamaa Ila mpe changamoto zake Kama wakuu wengine wanavyosema ili aamue mwenyewe na akienda ajiandae kisaikolojia na kuwa makin na Sasa hivo vitendo vimepungua Sana ingawa havijaisha.
Ila hakikisha kabla hajaenda huko awe na msingi mzuri wa elimu angalau degree au diploma Ila chini ya hapo majangas. Na Raha ya jeshi lolote uwe na kisomo au fani fulan atapanda cheo fasta hadi kuwa afisa wa jeshi akiwa na juhudi.
Na fani nzuri ya kusoma ili jeshini ili asihenye Sana Ni sayansi na kozi nzuri Ni Kama vle udaktari/clinician, famasia, unesi, lab technician, mtaalam wa mionzi, usingiz na nyinginezo pia akiwa na vifani vya MDA mchache Kama kuendesha gari, kujua na kutumia kompyuta, lugha ya kigeni na n.k
Kila la heri na usimkatishe tamaa mjeshi wetu mtarajiwa.
 
Huyo mtoto anapenda jeshi huenda kwa sababu mbili
1. Amekaa ktk kota za jeshi au jirani na jeshi
2. Amesoma shule ya jeshi

Kweli au uongo?
 
Sina mtu yeyote mkuu jeshini,ni Akili za d
Mkuu au una ndugu na maofisa wakubwa jeshini kanakwamba dogo anaweza kufanyiwa mpango?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkazanie afanye vizuri kwenye masomo ya sayansi alienda form 5&6 kabla ya chuo ataenda JKT kwa mujibu wa Sheria kule ataona japo Maisha ya jeshi kama atakuwa na moyo wa kupenda kazi hiyo.

Mpeleke nje ya nchi akapige Bachelor of Milltary Science akirudi huku au huko huko atapata kazi ya ndoto yake.
Asante mkuu,hapo kumpeleka nje ya nchi ndo mitihani haswa,hizo dollars tunazo??
 
Huyo mtoto anapenda jeshi huenda kwa sababu mbili
1. Amekaa ktk kota za jeshi au jirani na jeshi
2. Amesoma shule ya jeshi

Kweli au uongo?
Kwa jinsi anavyowaona wanajeshi kwenye tv,yaani acha tuuuu.
 
Mkuu Majoajosh,
Kwanza hongera Sana Kwa kumpenda mtoto na hongera Kwa kuwa na mtoto mwenye vision, watoto wengi huenda enda tu kama upepo.
Kuhusu jeshi usimkatishe tamaa Ila mpe changamoto zake Kama wakuu wengine wanavyosema ili aamue mwenyewe na akienda ajiandae kisaikolojia na kuwa makin na Sasa hivo vitendo vimepungua Sana ingawa havijaisha.
Ila hakikisha kabla hajaenda huko awe na msingi mzuri wa elimu angalau degree au diploma Ila chini ya hapo majangas. Na Raha ya jeshi lolote uwe na kisomo au fani fulan atapanda cheo fasta hadi kuwa afisa wa jeshi akiwa na juhudi.
Na fani nzuri ya kusoma ili jeshini ili asihenye Sana Ni sayansi na kozi nzuri Ni Kama vle udaktari/clinician, famasia, unesi, lab technician, mtaalam wa mionzi, usingiz na nyinginezo pia akiwa na vifani vya MDA mchache Kama kuendesha gari, kujua na kutumia kompyuta, lugha ya kigeni na n.k
Kila la heri na usimkatishe tamaa mjeshi wetu mtarajiwa.
Asante sana boss,yaani umenipa mwangaza kabisa,ngoja niongee naye apige Kwanza nimshauri asome Kwanza,mambo ya jeshi baadae akishakuwa na elimu yake.
 
Back
Top Bottom