Naomba ushauri, kila nikipanga mipango haitimii

don't underestimate the power of salt, especially stone salt (kidding), namaanisha chumvi ya mabonge.

Halafu kuna mti mmoja siufaham jina, kesho nikikumbuka nitapiga picha nipost maana upo hapa hapa ninapoishi. Mzizi wake noma kwa kusafisha nyota.

WAFIA DINI TAFADHALI PITENI KIMYA KIMYA
 
Pale unapoamua kwenda kwa kalumanzila principle kuu ni kwamba bei atakayokutajia mwambie wewe una robo ya hiyo pesa mfano wewe aliposema laki na ishirini ungempa elfu 30 na nyingine mwambie baadae. Akikwambia hata nusu sipokei basi jiondokee huyo ni Tapeli tuu...
 
Ebu jitahidi kaka unitumie huo mti
 
Shida uliyonayo ni ya kiroho zaidi kwani hiyo kuota upo shule ya msingi ni stagnation kama walivyosema.Kwenda Kwa sangoma ni kosa jingine kwani hujatibiwa umeongezewa matatizo kwani jini au pepo hamtoi mwenzie. Chanzo Cha tatizo ni vitu mchanganyiko unahitaji upate madhabahu yenye nguvu na uweze kuamini na kuuacha uchafu unaoufanya ili upate deliverance.Angalizo maombi ya Kiislam hayatakusadia.
 
Siku zote ndoto ni mawazo yako unayowaza au mambo unayoyaona katika maisha yako, ukiona video ya kichawi utaota hivyo hivyo. Achana na fikra potofu.
 
Jam
Jambo moja tu acha zinaa utatoboa,zinaa inaleta ufakiri. Kama huna mke fanya uoe na maisha yako hayo hayo utakuja kuishukuru Siku moja.
 
Nenda kwa wanasaikolojia achana na waganga..mtafute hata joel nnanauka tu kwakuanzia...hizo ndoto ni kwasababu akili yako imestack hapo haiendi mbele wala nyuma..pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…