IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 360
Habari wakuu,
Jana nimefanya manunuzi Ebay, bahati mbaya seller akaingia mitini. Nikapewa refund na paypal, lakini mpaka sasa hivi masaa 18 yamepita, siioni kwenye balance yangu ya mpesa mastercard.
Naomba msaada nafanyaje kuipata hiyo refund, au inaingia automatically.
Sent using Jamii Forums mobile app