gadrock
Senior Member
- Oct 7, 2016
- 154
- 117
- Thread starter
- #21
Umeshapiga ukaona kibamia kinaelea kwenye bwawa sasa ndio unakuja kuomba huruma ya jf. Endelea kupiga mkuu huwezi kujitoa umeshameza ndoano. Vijana mliotoka chuo mnapenda sana kitonga.
Mkuu ningekuwa nimepiga nisingekuja kuomba ushauri hapa trust me