Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

Yeah ulipofikia ni sahih lakini usimlaum kwan hakuamin kwamba hawez. Ni fighter singependeza kusoma arts kisa uoga. Bwana alitoa bwana Katwaa.
Sema tumepumbazwa na grading system ya bongo ila si kweli kwamba anayefeli hana akili ni bongo laza ,hapana ,Ndio maana sijamlaumu kwa matokeo may be maswali hayakua upande wake maana hakuna anayesoma afeli.all in all universty haikua her destiny huenda destiny yake iko sehemu nyingine.

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Tunachotegemea kwa hawa madogo Mara nyingi huwa kinyume
 
Mpeleke VETA akasome Cherehani kwakuwa ni. Wa kike umuingize Magereza.
 
Back
Top Bottom