Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

Aombe mifugo pale SUA, akimaliza diploma anaweza kujiajiri
 
Ndugu samahani,najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.

GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F.
DIVISON 3 YA 14.

Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je, anaweza kupata nafasi ya chuo kikuu kweli kwa hapa Tanzania private hasa hasa maana kwa ufaulu ninavouona sidhani kama kwa serikali anaweza kutoboa. Natanguliza shukurani.

NB: Vyuo gani anaweza kujaribu kuomba?

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Chuo kikuu anaenda Ila awe tayar kusoma course yoyote ya ajabu ajabu
 
mpeleke uvccm maaana kule hata ukiwa na 0 utapewa kazi
 
Aanze diploma, vyuo vya uhasibu ni vyuo vikuu kabisa, kuna CBE, IFM, TIA, MZUMBE, n.k
Sema ada zake huwa sio za kitoto aisee! hapo kumbuka anakua anajigharamia kila kitu na huyu mtoto wa kike mambo ya chuo unayajua aisee! ngoja kwanza tujipange hii pia ni aidea nzuri.

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Najua wengi watakushauri mara akosemee unesi mara utabibu. Chukua ushauri huu, mpeleke akasomee uhasibu atafika mbali zaidi kielimu na kimaisha kwa muda mfupi. Nikiwa namaana kwamba hizo kozi nyingine za wito, sijui atakua analipwa sh. ngapi😂😂😂😂
ni kama wewe ndio unafikisha watu mbali kimaisha
 
Dah hyo out ikoje au aende DIPLOMA .akapige education?

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Wanaoajiriwa saivi wengi diploma bachelor unakuta wachache wanahitajika kwa ushahidi angalia majina yaliyotoka hivi karibuni .

Kingine akienda diploma kusomea anachokipenda akamaliza anaweza kufanya kazi kisha baadae akajiendeleza either kwa mkopo au kwa kusomeshwa na kampuni husika .

Kingine ni ujuzi anapata experience ya kazi mapema sana so muache aende diploma kama atapenda
 
Ndugu samahani,najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.

GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F.
DIVISON 3 YA 14.

Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je, anaweza kupata nafasi ya chuo kikuu kweli kwa hapa Tanzania private hasa hasa maana kwa ufaulu ninavouona sidhani kama kwa serikali anaweza kutoboa. Natanguliza shukurani.

NB: Vyuo gani anaweza kujaribu kuomba?

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Bongo lala huyo kiazi hakuna chuo atapata labda india
 
Back
Top Bottom