Ndugu samahani,najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.
GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F.
DIVISON 3 YA 14.
Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je, anaweza kupata nafasi ya chuo kikuu kweli kwa hapa Tanzania private hasa hasa maana kwa ufaulu ninavouona sidhani kama kwa serikali anaweza kutoboa. Natanguliza shukurani.
NB: Vyuo gani anaweza kujaribu kuomba?
Sent from my TECNO BD4j using
JamiiForums mobile app