Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,392
- 15,203
Education haifai,angalia Afya mifugo na binadamu.Au akapige diploma kwanza.Dah hyo out ikoje au aende DIPLOMA .akapige education?
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
I also recommend this.asipoteze muda chuo kikuu hawezi pata hana D mbili katika tahasusi yake CBG nashauri kama form 4 ana D kwenye Fizikia Kemia na Biolojia aende kusoma Clinical Officer au Diploma ya Nursing ndiyo
fani zenye ajira na kujiajiri pia.
Hivi siku hizi principal pass ni D eeh? Sisi enzi zetu (kuanzia miaka 10 iliyopita) ilikuwa E. Yaani ukiwa na E E E au E E S unaenda Chuo na wakuipata hiyo walikuwa wachache pia. Ila siku hizi naona kila familia watoto wao wamepata div one.kaka hapo chuo kikuu apana aendi ana cutpoint ya 4 hapo kaka angalau angekua na D 2 ZA MASOMO YA COMBI YAKE ondoa hiyo ya gs ahiesabiki
Shida Una kaza ubongo Unaambiwa ili Usome Bachelor lazima Uwe na D mbili...Ngoja ajaribu jordan,makumila,cbe,green bird ,st john,Marian universty,st mathew .
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Halafu akaajiriwe na nani?Aanze diploma, vyuo vya uhasibu ni vyuo vikuu kabisa, kuna CBE, IFM, TIA, MZUMBE, n.k
huyo diploma degee apati amekosa pricipal mbiliNdugu samahani, najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.
GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F.
DIVISON 3 YA 14.
Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je, anaweza kupata nafasi ya chuo kikuu kweli kwa hapa Tanzania private hasa hasa maana kwa ufaulu ninavouona sidhani kama kwa serikali anaweza kutoboa. Natanguliza shukurani.
NB: Vyuo gani anaweza kujaribu kuomba?
OUT ndio wanataka wa belowshida sio chuo kikwazo ni TCU wameshaweka muongozo point ni 4 ndo zinakupeleka chuo..Ila mwambie ajaribu ata OUT
Oky sawa.Shida Una kaza ubongo Unaambiwa ili Usome Bachelor lazima Uwe na D mbili...
Sasa Yeye ana D moja katika comb Yake.
Bado Unaongelea Degree.
Huyo Aende Diploma Tu.
Hakuna Option
Usipotoshwe ovyo ovyo na wewe sasa. Tatzo F ya Maths O level. Ila anaeza akapata kwa baadhi ya Diploma za Afya maana kwa baadhi ya Course Maths ni addional advantage siyo Lazma.
Mwambie Open University of Tanzania atakuelewa.kama shida yake ni Bachelor mwambie akapige foundation pale OUT then anaeenda Bach tu
Sijui kama ilikua zamani ila kwakwel kwa Guidbook ya Mwaka jana na Mwaka huu bila D mbili husomi dgree hata ya Uhuni, Labda upigwe badae utumbuliwe na TCUChuo kikuu anaenda Ila awe tayar kusoma course yoyote ya ajabu ajabu![]()
Kumbe Manzi, mbona unataka kumtesa hivyo atafute Chuo tu under NACTE apige nursing basi hiyo Bachellor ataitafutaga Mwenyewe.Sema ada zake huwa sio za kitoto aisee! hapo kumbuka anakua anajigharamia kila kitu na huyu mtoto wa kike mambo ya chuo unayajua aisee! ngoja kwanza tujipange hii pia ni aidea nzuri.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Ofcoz kama 3M+ kwa Mwaka zinapatikana aende mvumiNisikilize mimi achana na wote waliocomment mwanzo, akapige diploma ya macho (Optometry) ipo Mvumi Dodoma, au diploma ya Radiology. Usisahau kuja kunishukuru.
Sasa unatakaje wewe akarudie paper au?kila mtu anawaza tu diploma.
Huyu tangu mwanzo mlikosea kumpeleka A level ya science. Kwa matokeo haya alipaswa kusoma diploma baada ya form four, au kama ni A level angesoma arts. Option pekee iliyobaki ni kurudi kutafuta diploma kwa zile credentials zake za form four.
Yeah ulipofikia ni sahih lakini usimlaum kwan hakuamin kwamba hawez. Ni fighter singependeza kusoma arts kisa uoga. Bwana alitoa bwana Katwaa.Huyu tangu mwanzo mlikosea kumpeleka A level ya science. Kwa matokeo haya alipaswa kusoma diploma baada ya form four, au kama ni A level angesoma arts. Option pekee iliyobaki ni kurudi kutafuta diploma kwa zile credentials zake za form four.
Mwaka huu mitihani ilikuwa rais sana vilaza tu ndio walipata twoAhya buana
![]()