Fanya kweli usimtafute yawezekana anatingisha kiberiti!....ila chunga usioneshe udhaifu wako kwake maana anaweza kukutesa zaidi, fanya kumpotezea tuWakuu sina maana hiyoo bali nahitaji ushauri utakao nisaidia mimi ili niweze kumteka ndo lengo langu
Namna ya kuishi bila yeye ipo ndo maana toka jana unaishi vizuri tu. Huenda Mungu amekuepusha na mengi. Achana nae.Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.
Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.
Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye
Msaada wenu tafadhari
Duuh! Mkuu tafta Neila,faranga,dola,shilling,uende kwa mzungu ukachukue dawa ya mataili manne huo ndio ushauri wangu hutokuja kulia tena.hata ukija jf unakuja kuomba ushauri jaman kuna mwanamke ananing'ang'aniaWakuu sina maana hiyoo bali nahitaji ushauri utakao nisaidia mimi ili niweze kumteka ndo lengo langu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuuuuuuuhPumbavu ww mtu hakutaki ushauri utasaidia nn....tafuta mwingine
Huwezi kuishi bila yeye, kwani yeye ni oksijeni?Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye
Good and excellent adviceWhen things fall apart let them definitely burst coz they are worse to you, don't dare to push them on ur side, otherwise wise can be so by their own decisions, be patient don't allow ur heart be broken much due to such simple matter coz the ones to fill the gap are many but it depend on ur choice whom u like and not, ur life can't end because of such divorce, u never know may be God has escaped you from very big fety which could happen to u when u proceed to be in relation with her, just think where you came from, where u are and where you are going by comparing what your suppose to do, and to be done at what time. Mapenzi yapo tu kaka huyo achana nae atakupotezea time yako bure mwisho wa siku majuto yatakuwa juu yako, piga moyo konde songa mbele kumbuka msemo huu kuwa 'kumpiga teke chura si kumuumiza kama anavyodhani yy Bali ni kumuongezea mwendo' mapenzi ya namna hiyo sio maisha bali are there to spoil ur entire life and destroy ur future, just try to struggle u will get another who is much better woman and best in ur heart rather than that one who is beast in ur total life and best in lookin
Kuna wimbo flani hivi aliimba banana zorro nadhani unaitwa zoba.Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.