Demu akiingia tu gheto anamkuta jamaa kavaa shati la blue na suruali nyeusi ya kitambaa tena ile ya kupimiwa kwa fundi cherehani pia kapiga na tai panaaa! Kwanini asimuone boya?wewe nae ulishabugi...mwanamke akiingia gheto kwako huyo kafuata mgegedo lazima umgegede. alishakuona boyo ndio maana. next tym ukipata demu hakikisha akija gheto anakuluta na boxer tuu. hapo yeye mwenyewe atajua kuwa yes mwanaume ndio huyu
pole mwaya kwanza umejijengea falsafa ya kuwa huwezi bila yeye ondoa hili wazo akilini mwako....Jua kuwa Maisha yanavipindi kubali kuwa sasa kimefika kipindi cha kuwa bila yeye...Mwache aende usilazimishe kubaki. ...kama alikuwa na maana halisi ya kuwa wakwako atarudi tu.!! yaelekeze maisha yako huku kumbuka kuwa una mambo mengi tu ya muhimu ya kufanya hapa ulimwenguni...Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.
Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.
Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye
Msaada wenu tafadhari
Tuma majambazi wamteke...Kijana inaoneka kwenye mapenzi ni mgeni nawe uliamini mpaka muoane yaan unaomba tunda kizembe namna hyo..wajanja wamekuwahi na huko anakazwa kisawa sawa..we potezea utashindwa fanya mambo yako ya msingi usipende kumfikiria mtu ambaye hakufikiriiWakuu sina maana hiyoo bali nahitaji ushauri utakao nisaidia mimi ili niweze kumteka ndo lengo langu
Mhonge gari.. Atarudi fasta...Wakuu sina maana hiyoo bali nahitaji ushauri utakao nisaidia mimi ili niweze kumteka ndo lengo langu
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.
Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.
Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye
Msaada wenu tafadhari
We hiyo ajira unayo?Umepata kwanza ajira au bado upo kitaa unazurura maana kuwa na mwanaume asiye na kipato usawa huu ni mzigo!!!
Hata ingekua mie ningekupa likizo kama husomekiii..poyeee
Mkuu huyu jamaa karushiwa bomu la machozi limemkosa sasa kaona haitoshi kaamua alikimbie kabisa alifate alikumbatie hahahaha kweli sikio lakufa duu...Dah watu wengine bana tena graduate wa udsm, unahangaika na asiekutaka? Achana nae fanya mambo yako