naomba uni PM

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,325
0
chonde chonde wanachichat nina mwezi sijakuta meseji kwenye inbox yangu,nimewakosea nini?ntupie basi PM hata kama unantukana ili mradi nijisikie huru!(zaidi kinamama pliz mibaba ishieni huko na ubozi wenu).
 

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,628
2,000
mkuu jaribu weye kutuma kwanza hakika utapata reply...kwa kuanzia watumie mods wote
 

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,000
Acha woga,we niPM unipe na namba yako ya m pesa,chezeiya tajiri la kihaya wewe,niko kwenye mudi ya kuhonga leo.

hahahaha nilikuwa sijui kama wewe ndio taikun wa hapa... kama unataka warembo twende kambi ya miss East Africa kuna koktail nzuri kweli ya wadada watz,wanyarwanda, burundi, wakenya, wasomali, waganda, na wakongolisee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom