nimegundua wengi saiz sio waoaj bali wachafuz, ndoa atapata tu. Alafu hilo jina lako lina maana gani?
Hakuna mume wa kweli kama mimi, kwa hakika hatojutia uwepo wangu. Cha msingi awe tayari kunipenda kwa dhati.
Hilo jina ni jina la kijiji kimoja kipo pembezoni mwa shule moja ya serikali kongwe sana hapa tanzania.
Hilo eneo ni kame sana linapatikana katika moja ya mikoa ya kaskazini
vijana wa digtal bana mna mambo! Kumbe we mwenyewe hujui maana.
Vp wewe unajua maana yake?
Ntakujibu basi kesho ngoja nilale best asubh kwa job, nikisahau nicheki kwa 0712 661366 sawa?
uwiii utaniharibia ndoa wewe.. Mwenyewe naenda job.
Kuwa wazi usiogope kama mume nipo!
Ngoja nimuandalie uzi dogo! ataingia tu kama anajua kupendwa!
uzi tuuuuu hata ukinipa na sindano yake sitaki ng'o
tena dada huyu ndo sio husband material kabisaaaaa
aaah am too young kwa kweli, ndo nyie matapeli haikawii siku ya ndoa anakuja mkeo na cheti chake mkononi
Kalale uwahi chuo kesho....
shikamoo mamy nimepita kuwajulia hali naenda kazini.
Marahaba my daughter.....kazi njema mama eeh....luv u sana
Marahaba my daughter.....kazi njema mama eeh....luv u sana