Naomba ufafanuzi wa vitu vya msingi kuwa navyo ili nifungue photo studio

Edc Tz

Member
Apr 20, 2018
60
38
Habari Wana JF mimi ni Graphics designer nilikua nahitaji niwe na photo studio nahitaji wazoefu WA mambo wanijuze no vitu gani vya msingi vya kuanza navyo ambavyo vinafaa, Nina kompyuta na Camera. Naomba ufafanuzi bila kuuliza bajeti gani nilonayo nachotaka nivijue hivyo vitu itanisaidia sana
 
Ongezea softbox
Spedlight
Strobe
Umbrella
Reflector
Nitarudi baadae kdg kwa elimu ya matumizi ya vitu hivo mkuu
 
Mimi ninayo Photostudio!
Napiga picha za aina zote!

1. Picha za sherehe mbalimbali.
2. Picha za Passport.
3. Picha za uchi pia.

karibu katika fani.
 
Mimi ninayo Photostudio!
Napiga picha za aina zote!

1. Picha za sherehe mbalimbali.
2. Picha za Passport.
3. Picha za uchi pia.

karibu katika fani.
Asante mkuu, ila hizo picha za utupu zinahitaji moyo
 
Back
Top Bottom