Naomba ufafanuzi wa utata huu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ufafanuzi wa utata huu!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by samilakadunda, Jul 18, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Simu nokia n95, nimeinstall(save) vitu vichache sana inaniambia memory full,inakuwaje hali ina memory capacity ya 8gb? Tofauti na simu nokia 2730 ambayo nimeweka pics,video, na miziki mingi sana na inamemory extenal ya 1gb? Naomba wataalam mnipe ufafanuzi?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Virus hao.
   
 3. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mchina huo,
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,044
  Trophy Points: 280
  Mimi sjawah tumia hio simu natumia knowledge ya nokia 6500 maybe itakusaidia.

  Nokia 6500 ina memory 2 za simu bila memory card kwa maana nyingine naweza kusema kua memory card yake imekua built within.

  Inaweza ikawa same kwa simu yako kua hizo 8gb zikawa ni memory tofauti na ya simu cha kufanya jaribu kwenda gallery observe folder la tofaut then check memory

  Then hiyo memory full inasemaje? Ukiopen application au ukieka files ie miziki
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hiyo memory itakuwa imeharibika....ina nafasi but not readable.....haisomeki!!
   
 6. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  Ina memory 2,phone memory na mass memory,ukiweka chochote kwenye cm yako (mfano ukidownload mziki,picha,video ama ukipokea kitu kwa bluetooth vinaingia kwenye phone memory(ambayo ni ndogo),
  cha kufanya hapo move(uki copy zinabaki unapotoa) files zote zilizopo kwenye phone memory amishia kwenye mass memory
  YOUR PROBLEM IS SOLVED
   
 7. MSOROPOGAS

  MSOROPOGAS Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  labda default destination file ni simu na sio card, jaribu kusave kwenye card kama ipo.
   
Loading...