Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,261
nokia lumia ni series mpya ya simu za nokia ambazo zinatumia operating system ya windows phone. kwa sasa zipo zinazotumia windows phone 7.5 na nyengine zinatumia windows phone 8 ila kwa sasa sitazungumzia windows phone 8 kwa sababu hazijafika kwa wingi. nimepita maduka mbali mbali nimeziona simu za windows phone 7.5 nyingi tu nikaona niandae hii thread ili kuweza kuweka wazi zipoje hizi simu.
kwa kuanza kiujumla ni simu nzuri sana kwa perfomance maana zipo very fast kucompare na android na iphones sema tatizo kubwa ni kwamba zina uhaba wa application. so kama wewe si mtu wa kushughulika sana na simu unapenda simu ya kibiashara isiosumbua au matumizi ya kawaida hii ndo simu yako. pia simu hizi haziingii memory card so unapochagua phone memory uangalie na matumizi yako.
mpaka sasa nokia kwenye family yake ya windows 7.5 ana simu 6 nokia lumia 505, 510, 610, 710, 800 na 900 nitazigawanya makundi matatu ili uweze kuzielewa vizuri kuanzia kundi la chini hadi la juu.
KUNDI LA CHINI
hapa nazieka simu tatu, lumia 510, 610 na 505 hizi simu zinafanana kila kitu kasoro vitu vichache sana na ndio simu za bei rahisi kabisa za lumia. lumia 510 ikiwa na ukubwa wa screen 4 inch ikifuatiwa na lumia 610 na 505 zenye kioo 3.7 inch
general perfomance;
hizi simu 3 zina processor ya 800mhz ram 256mb wakati 505 na 510 zina phone memory 4gb 610 ina phone memory 8gb. kutokana na udogo wa specification battery yake ni nzuri kwa matumizi makubwa inakaa zaidi ya siku moja kwa matumizi ya nguvu na zaidi ya wiki kwa wasiotumia sana. zote utapewa 7gb free space online kwa ajili ya kuhifadhia vitu vyako. nguvu ya lumia 610 kushinda wenzake ni memory ya 8gb wakate wenzake ni 4gb. nguvu ya lumia 510 ni screen ya 4inch kucompare na wenzake 3.7. nweguvu ya lumia 505 ni camera ya 8mp compare na wenzake 5mp so hizi ndo zilivo
watu gani wanunue simu hii;
hii simu ni nzuri kwa watu wa makamo na wazee kwa sababu ya memory ndogo na ukubwa wa screen ili waone vizuri, ni nzuri kwa watu wasiopenda mambo mengi kwenye simu, wafanya biashara wanaotaka simu ya kukaa na charge, vijana wanaopenda miziki na kuangalia video fupifupi.
watu gani wasinunue simu hizi;
moja ya weakness ya simu hizi ni udogo wa processor na ram so kuna application nyingi haziingii humu utaambiwa incompatible so sitegemei vijana wa jf tuwe na simu hizi bali tununulie tu wazazi wetu tu. pia wale wanaopenda kustore vitu hizi simu sio type yao.
bei
lumia 505 na 510 sijaziona madukani lakini ni cheap kuliko 610 ila hii 610 dukani zipo laki 3 hadi 3 na nusu if ur lucky hadi 280,000 unapata.
kundi la katikati
hapa nitaziweka simu mbili lumia 710 na 800. zote hizi mbili zina award nyingi sana na naweza kusema ndio best phone za nokia of all time ukicompare price, design na perfomance.
general perfomance;
zote zina speed ya internet sawa 14.4mbps zinapowerfull processor ya 1.4 ghz scorpion, zote zina ram ya 512mb. lumia 800 imemzidi lumia 710 kwenye design ina curved screen, 8mp camera against 5mp, 16gb ya memory against 8gb, wakati lumia 710 amemzidi 800 interms of price.
nani anunue simu hizi;
lumia 800 kutokana na uzuri wa design yake (angalia picha juu) ni nzuri kwa wanawake, vijana wanaopenda kupendeza watu wanaopenda simu zenye perfomance kubwa na wafanyabiashara wanaotaka simu zisizosumbua. lumia 710 haina design nzuri lakini ina same perfomance ya nokia 800 ila kwa bei ya chini. so lumia 710 kwa bei na perfomance i think ndio best duniani i hope wengi msiojali umbo la simu mtaenda kwenye hii.
nani asinunue simu hizi;
wale wanaopenda kuhamisha kila kitu kwenye simu 16gb au 8gb haziwatoshi atleast 32 au 64gb zitahitajika so simu hizi haziwafai maana huwezi ongeza memory.
bei;
lumia 710 kama nilivosema kwa perfomance yake ni cheap bongo ni kama 350,000 (nokia wanauza 250,000 tamaa za wabongo) wakati lumia 800 ni around laki 4 hadi
KUNDI LA TATU
hili ndi kundi la mwisho lina simu moja tu
NOKIA LUMIA 900
hii ndo flagship ya nokia lumia zenye windows phone 7.5 ikiwa na vitu vingi vizuri zaidi ya wote bei ni around laki 6, siirecomend sana kuinunua maana kwa laki 6 unapata simu nyengine nzuri tu .
kama una tatizo lolote linalohusu nokia lumia series usisite kupost hapo chini