BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Naomba kusaidiwa kufafanuliwa hii sentesi ambayo mheshimiwa prezdent ameisema je alikua anawaambia akina nani???
"Fanyeni kazi, tetemeko halijaletwa na ccm".
Unafiki unaujua peke yakoAcheni unafiki.
Mkuu mimi M7 sina labda kama wana JF wote watanichangia sh.100 kila mmoja.Kuitafsiri kwa sauti lazima uwe na m7 mfuko wa shati
Tupo tyrMkuu mimi M7 sina labda kama wana JF wote watanichangia sh.100 kila mmoja.
Huyu jamaa anaongea kama mvutabangi. Hata chizi hawezi kuongea hivi.Haikuwa mahala pake...haikupaswa kutamkwa....haina maana. Mbona hakubisha wale waliposema wanaishukuru sana sirikali na wanaomba mwakani waletewe tena kupatwa kwa jua!!!??
DuuuhHuyu jamaa anaongea kama mvutabangi. Hata chizi hawezi kuongea hivi.