Naomba ufafanuzi wa hii sentesi

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,313
Naomba kusaidiwa kufafanuliwa hii sentesi ambayo mheshimiwa prezdent ameisema je alikua anawaambia akina nani???
"Fanyeni kazi, tetemeko halijaletwa na ccm".
 
Haikuwa mahala pake...haikupaswa kutamkwa....haina maana. Mbona hakubisha wale waliposema wanaishukuru sana sirikali na wanaomba mwakani waletewe tena kupatwa kwa jua!!!??
 
kasifiwa anakimbia kapitiliza hadi kwao!! hakuna siraha hatari kama mdogo namkuka prof jay aliwahi kuimba maneno ni sumu yanaponya na unaweza ugua
 
Waulize wana UKAWA ambao wanaisema Serikali ya CCM kutokana na tetemeko hilo
 
Amesema "he is just watching" ..nimetoka kuiangalia upya hotuba yake hapa.
 
Haikuwa mahala pake...haikupaswa kutamkwa....haina maana. Mbona hakubisha wale waliposema wanaishukuru sana sirikali na wanaomba mwakani waletewe tena kupatwa kwa jua!!!??
Huyu jamaa anaongea kama mvutabangi. Hata chizi hawezi kuongea hivi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom