Imphuvyi
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 224
- 151
Mmeshindaje wakurungwa,
Ni natumaini yangu kuwa mpo njema, na wale ambae kwa namna moja ama nyingine mnaumwa au hampo sawa kiafya, Mungu atawafanyia wepesi mtakuwa sawa.
Naomba kuuliza kwa wale mnaofahamu
Mishahara ya wa madereva wa serikali.
Je, malupulupu wanapata kwa njia gani.
Na ni vigezo gani unapaswa uwe navyo ili uajiriwe kuwa dereva wa serikali, yaani kuendesha viongozi au magari ya halimashauri!
Nawasilisha.