Naomba ufafanuzi kuhusu mishahara na malupulupu ya madereva wa serikalini

Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
138
225
Mmeshindaje wakurungwa,

Ni natumaini yangu kuwa mpo njema, na wale ambae kwa namna moja ama nyingine mnaumwa au hampo sawa kiafya, Mungu atawafanyia wepesi mtakuwa sawa.

Naomba kuuliza kwa wale mnaofahamu

Mishahara ya wa madereva wa serikali.

Je, malupulupu wanapata kwa njia gani.

Na ni vigezo gani unapaswa uwe navyo ili uajiriwe kuwa dereva wa serikali, yaani kuendesha viongozi au magari ya halimashauri!

Nawasilisha.
 
Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
44,349
2,000
Mmeshindaje wakurungwa,
Ni natumaini yangu kuwa mpo njema, na wale ambae kwa namna moja ama nyingine mnaumwa au hampo sawa kiafya, Mungu atawafanyia wepesi mtakuwa sawa.

Naomba kuuliza kwa wale mnaofahamu

Mishahara ya wa madereva wa serikali.
Je malupulupu wanapata kwa njia gani,
Na ni vigezo gani unapaswa uwe navyo ili uajiriwe kuwa dereva wa serikali, yaani kuendesha viongozi au magari ya halimashauri!

Nawasilisha.
MSHAHARA huanzia around laki 5 na kuendelea (HUBADILIKA kutokana na utendaji, uzoefu, kupanda cheo)

marupurupu ni kwa posho za safari, training, overtime

elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, kusomea NI PALE NIT/VETA ADVANCED DRIVERS VIP GRADE I&II
 
Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
138
225
MSHAHARA huanzia around laki 5 na kuendelea (HUBADILIKA kutokana na utendaji, uzoefu, kupanda cheo)

marupurupu ni kwa posho za safari, training, overtime

elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, kusomea NI PALE NIT/VETA ADVANCED DRIVERS VIP GRADE I&II
Dah, asante sana.
 
Mizega

Member
Feb 10, 2021
47
125

Uongo
 
Mizega

Member
Feb 10, 2021
47
125
Haya mkuu... Elezea, ipo ipo je?
Utaratibu ni upi?
Eleza kwanza taasisi uliyoajiriwa ni ipi, mishahara ya serikali inatofautiana kulingana na sehemu au taasisi...kuna taasisi nyingine wanaanzia 350,000 kuna nyingine wanaanzia 600,000 na hata 1,000,000 sasa useme umeajiriwa na kupangiwa ofisi gani
 
Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
138
225
Eleza kwanza taasisi uliyoajiriwa ni ipi, mishahara ya serikali inatofautiana kulingana na sehemu au taasisi...kuna taasisi nyingine wanaanzia 350,000 kuna nyingine wanaanzia 600,000 na hata 1,000,000 sasa useme umeajiriwa na kupangiwa ofisi gani
Dah, jamaa wewe ni pasua kichwa...
Nimeulizia ishu ya madereva
Mishahara yao
Na vigezo vya kuajiriwa!
Na malupulupu
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,422
2,000
Eleza kwanza taasisi uliyoajiriwa ni ipi, mishahara ya serikali inatofautiana kulingana na sehemu au taasisi...kuna taasisi nyingine wanaanzia 350,000 kuna nyingine wanaanzia 600,000 na hata 1,000,000 sasa useme umeajiriwa na kupangiwa ofisi gani
Anataka amuendeshe waziri mpe muongozo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom