caiden mills
Member
- Jul 13, 2019
- 49
- 19
Hii course ina deal na nini kwa anayefahamu naona nko jukwaa sahihi!
Shukran nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?Ni degree ya usimamizi wa sheria. Huko ndani utasoma sheria zinazohusiana na uhalifu (criminal law, criminology na sociology kwa mbali) kuna mambo ya haki za binadamu, upelelezi wa makosa ya jinai na sheria za msingi tu ambazo mwanasheria yeyote lazima asome pamoja na sheria za kimataifa.
Kama sijakujibu unaweza kuendelea kuuliza.
Na field za Kazi ni maeneo gan labda?Ni degree ya usimamizi wa sheria. Huko ndani utasoma sheria zinazohusiana na uhalifu (criminal law, criminology na sociology kwa mbali) kuna mambo ya haki za binadamu, upelelezi wa makosa ya jinai na sheria za msingi tu ambazo mwanasheria yeyote lazima asome pamoja na sheria za kimataifa.
Kama sijakujibu unaweza kuendelea kuuliza.
LLb ni Laws kwa ujumla, mfano tuu kwenye Law infocement huwezi Soma Law of contract ama land laws, kule Sana Sana ni Criminal laws na kigezo Cha kujoin law school ni LLb sio Law infocementShukran nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
I don't need to say conclusively lakini law infocement application yake ni vituo vya polisi na Mageleza Sasa sijajua field yake unafanyia wapiNa field za Kazi ni maeneo gan labda?
Tofauti yake na LLb ni kuwa law enforcement ni criminal centred yaani inajihusisha na sheria za uhalifu na usimamizi wake tu ingawa pia inagusa discipline nyingine lakini LLb ni sheria zoteShukran nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
Field za kazi ni mahali popote panapohitaji usimamizi wa sheria, mainly kwenye majeshi yote lakini ishu ya ajira ni pana unaweza pata popote penye uhitaji sia ajabu ukafanya kazi tbs, benki n.kNa field za Kazi ni maeneo gan labda?
BA.LE is a multidisciplinary program that can make one fit on any law enforcement agencies, such as TRA, EWURA, TFDA, TCRA, etcField za kazi ni mahali popote panapohitaji usimamizi wa sheria, mainly kwenye majeshi yote lakini ishu ya ajira ni pana unaweza pata popote penye uhitaji sia ajabu ukafanya kazi tbs, benki n.k
Fafanua itakuwa vyema zaidKama unataka kuwa kama Lissu usisome Law enforcement
Maana yake huwezi kuwa wakili kama utasomea 'Law enforcement' kwa maana law enforcement hawaruhusiwi kuingia law school.Fafanua itakuwa vyema zaid