Habari?
Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law.
Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani ndiyo nitaelewa vizuri.
1: Kuhusu cinsideration
-Consideration ni nini? mfano wake ni upi?
- promise ina utofauti gani na offer?
-Aina tatu za consideration zinakuaje
Past, Excuted na excutory?.
-Na kumove consideration ni kufanya nini?
-Na nani anaweza move consideration?
-Pia sifa za consideration ni zipi?
-Adequate ina maana gani kwenye consideration na Sufficient ina maana gani?
2. Kuhusu Free assent.
Kipengele cha mistake
Mistake inakuaje na je, katika hali zipi mistake inaweza pelekea agreement kuwa void na katika hali zipi inaweza pelekea agreement kuwa valid?
3: Kuhusu intention to create legal relations
Katika hali zipi domestic agreement zinaweza kuwa na lega effects?
Natanguliza shukrani.