Kozi ya Bachelor of Sciance in Radiology and Imaging system inatolewa vyuo gani?

davyventure the great

Senior Member
Dec 2, 2023
131
184
Hivi hii kozi ya bachelor of sciance in radiology and imaging system inatolewa vyuo gani na ajira zake zikoje au ndo Ile unasoma kozi badae ukikosa ajira unashindwa kujiajiri anayefahamu ufafanuzi tafadhali.
 
Hivi hii kozi ya bachelor of sciance in radiology and imaging system inatolewa vyuo gani na ajira zake zikoje au ndo Ile unasoma kozi badae ukikosa ajira unashindwa kujiajiri anayefahamu ufafanuzi tafadhali.
Soma famasi kama unataka kujiajiri mkuu,ila kuhusu hiyo kozi Kwa tz wanadai ipo kwenye soko na inawatu wachache so wengi wanahutajika,chuo nadhani ni muhimbili tu ndo wanatoa degree
 
Sawa mkuu nashukuru kwahyo kwasahv ukipiga hiyo unakua na uhakika kwa asilimia flan hv na je verpe kuhusu bsc in physiotherapy

Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
Mzee kozi za afya karibu zote zipo vzr na haztofautiani Sana kwenye swala la uhitaji wake,lkn japo ambazo zimekaa kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri na zipo ambazo zimekaa kujiajiri zaidi kuliko kuajiriwa ko hiyo physiotherapy ni kama radiology tu bado hazina watu wengi sana ko Wanahitajika zaidi.ko kama unataka ufanye science biashara soma pharmacy,dental, optometry,medical lab ni rahisi kujiajiri,ila kama kuajiriwa soma radiology,nursing,medical doctor
 
We nae upo muhas kaka
Sorry kaka sikuangalia jina lako nikajua kuna mtu anajarbu kuniambia kama nipo muhas kumbe ni wew hpn mi sipo muhas mi nipo kitaa tu kjana nachakalika ila Mungu akipenda mwakani naingia chuo but course nayoenda kusoma ni pharmacy
 
Back
Top Bottom