Naomba ufafanuzi kuhusu Law enforcement (bachelor)

Ni degree ya usimamizi wa sheria. Huko ndani utasoma sheria zinazohusiana na uhalifu (criminal law, criminology na sociology kwa mbali) kuna mambo ya haki za binadamu, upelelezi wa makosa ya jinai na sheria za msingi tu ambazo mwanasheria yeyote lazima asome pamoja na sheria za kimataifa.

Kama sijakujibu unaweza kuendelea kuuliza.
 
Shukran nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
 
Na field za Kazi ni maeneo gan labda?
 
Shukran nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
LLb ni Laws kwa ujumla, mfano tuu kwenye Law infocement huwezi Soma Law of contract ama land laws, kule Sana Sana ni Criminal laws na kigezo Cha kujoin law school ni LLb sio Law infocement
 
Field za kazi ni mahali popote panapohitaji usimamizi wa sheria, mainly kwenye majeshi yote lakini ishu ya ajira ni pana unaweza pata popote penye uhitaji sia ajabu ukafanya kazi tbs, benki n.k
BA.LE is a multidisciplinary program that can make one fit on any law enforcement agencies, such as TRA, EWURA, TFDA, TCRA, etc

Umejibu vema mkuu, big up!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom