Ipi kozi nzuri kati ya Bachelor of Law Enforcement na Bachelor of Laws

Too face

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
223
199
Ipu ni course nzuri ya kusomea Sheria kati ya "Bachelor of Laws" na "Bachelor of Law Enforcement?"

Nitashukuru kama utaniambia ipi inajikita na Nini haswa .

Na ipi ni rahisi kujiajiri / kuajiriwa.
 
Soma LLB_Bachelor of Law na sio hiyo BALE, Law Enforcents otherwise uwe na ndoto ya kuwa Askari huko ndio inafit sana kwingineko naona matumjzi yake madogo sana ila hiyo LLB ndio kila kitu Dada angu
 
Ipu ni course nzuri ya kusomea Sheria kati ya "Bachelor of Laws" na "Bachelor of Law Enforcement?"

Nitashukuru kama utaniambia ipi inajikita na Nini haswa .

Na ipi ni rahisi kujiajiri / kuajiriwa.
BALE ina chance kubwa ya kupata ajira bank kwenye kitengo cha Fraud and Investigations au Police.... ila naaona wengi wanapata kazi bank..!! Nakushauri soma BALE
 
Asome LLB itamsaidia zaidi maana ina opportunities compared to BALE. BALE ni nzuri kwa in-service wa mambo ya ulinzi na usalama.

Pia mtu wa LLB anaweza fanya kazi zote za wale wa BALE lkn mtu wa BALE hana sifa ya kufanya baadhi ya mambo ya mtu wa LLB.
 
Ipu ni course nzuri ya kusomea Sheria kati ya "Bachelor of Laws" na "Bachelor of Law Enforcement?"

Nitashukuru kama utaniambia ipi inajikita na Nini haswa .

Na ipi ni rahisi kujiajiri / kuajiriwa.
Zote nzuri tu ukijichanganya kwenye siasa pia
 
Asome LLB itamsaidia zaidi maana ina opportunities compared to BALE. BALE ni nzuri kwa in-service wa mambo ya ulinzi na usalama.

Pia mtu wa LLB anaweza fanya kazi zote za wale wa BALE lkn mtu wa BALE hana sifa ya kufanya baadhi ya mambo ya mtu wa LLB.
LLB kibao wapo mtaani wanapambana lakini BALE wengi wapo kwenye ajira... kwanza ni course inayochukua watu wachache na opportunities ni nyingi zaidi kwenye banking industry na sehemu zingine..!! Kwa mimi namshauri asome BALE hatokaa mtaani, speaking from experience
 
Kwani BALE hapa Tanzania imeanza kutolewa lini mkuu
 
Back
Top Bottom