napenda movie
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 522
- 457
Na hapo juu ukiitazama picha kuna kitu kingine je huyo mtu aliyesimama hapo kati kati unamaanisha niniHuu unaonesha ni mchoro wa kiimani/dini.
Mchoraji anajaribu kuonesha kwamba maisha ni mzunguko, unazaliwa unakua kisha kuzeeka. Ila ukishakufa baada ya kuzeeka unaenda kuzaliwa tena kwingine.
Hii inaelezea doctrine ya SAMSARA (continuous cycle of life,death and recarnation) and karma -the universal law of cause and effectHii picha nimekua nikiitazama mara kadhaa sijaipatia majibu ...........
Nimepnda ku share ili wajuzi muweze kunifafanulia hii picha inamaanisha nini.....
Mwandishi alikusudia nini.......View attachment 1734155
Kwani kuna nini hapo juu mpaka utoe jina kama hiloReincarnation kwa upande wa chini wa picha, kwa juu ni kwamba viumbe Vyote vinaabudu kwa nguvu moja (mungu) iliyo juu
Incarnation na reincarnation.. The realm of eternityHii picha nimekua nikiitazama mara kadhaa sijaipatia majibu ...........
Nimepnda ku share ili wajuzi muweze kunifafanulia hii picha inamaanisha nini.....
Mwandishi alikusudia nini.......View attachment 1734155
Its a permanent cycle of birth n rebirth
Je ni kweli tunazaliwa upya.......?Its a permanent cycle of birth n rebirth
Je ni kweli tunazaliwa upya.......?
Ama ni juu ya imani kuamini .........?
Mbali na hivyo uhalisia uko vipi..........?
husha nondoNatumae mleta mada umepata muongozo...