Naomba ufafanuzi kuhusu hii picha

napenda movie

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
520
454
Hii picha nimekua nikiitazama mara kadhaa sijaipatia majibu ...........

Nimepnda ku share ili wajuzi muweze kunifafanulia hii picha inamaanisha nini.....

Mwandishi alikusudia nini.......
FB_IMG_16160908847639257.jpg
 
Huu unaonesha ni mchoro wa kiimani/dini.

Mchoraji anajaribu kuonesha kwamba maisha ni mzunguko, unazaliwa unakua kisha kuzeeka. Ila ukishakufa baada ya kuzeeka unaenda kuzaliwa tena kwingine.
 
Huu unaonesha ni mchoro wa kiimani/dini.

Mchoraji anajaribu kuonesha kwamba maisha ni mzunguko, unazaliwa unakua kisha kuzeeka. Ila ukishakufa baada ya kuzeeka unaenda kuzaliwa tena kwingine.
Na hapo juu ukiitazama picha kuna kitu kingine je huyo mtu aliyesimama hapo kati kati unamaanisha nini
 
Hii picha nimekua nikiitazama mara kadhaa sijaipatia majibu ...........

Nimepnda ku share ili wajuzi muweze kunifafanulia hii picha inamaanisha nini.....

Mwandishi alikusudia nini.......View attachment 1734155
Hii inaelezea doctrine ya SAMSARA (continuous cycle of life,death and recarnation) and karma -the universal law of cause and effect

Huu ndo msingi wa imani ya Hindu(Hinduism)

Kwa maelezo zaidi tembelea hii kurasa:
 
Je ni kweli tunazaliwa upya.......?
Ama ni juu ya imani kuamini .........?
Mbali na hivyo uhalisia uko vipi..........?
 
Ndugu Napendamovie

Tukiitizama picha hii na kuifanyia face value evaluation, sehemu ya juu ya picha inajaribu kutueleza maoni ya mchoraji juu ya fikra zake katika evolution.

Na katika sehemu ya chini mchoraji anajaribu kutonesha uono wake juu ya kile kiitwacho incarnation.

Hayo yote tunaweza kuyaita ni maono au mapekndekezo binafsi ya mchoraji.

Again, katika face value mchoraji anaonekana si mtu anayeamini dini

Ahsante.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom