nakwede97 Member Aug 9, 2021 41 52 Apr 25, 2024 #1 Wapendwa habari zenu tafadhal Kwa anayejua kuhusu size za hizi foil anijuze Kwa undan zaid mfano naomba maelekezo ya hii size
Wapendwa habari zenu tafadhal Kwa anayejua kuhusu size za hizi foil anijuze Kwa undan zaid mfano naomba maelekezo ya hii size
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 28,316 81,500 Apr 25, 2024 #2 Nje ya mada kidogo.. kama hujui, ujue Ukiweka simu kwenye foil, ukazungusha vizuri kabisa, ukiipigia haipatikani CHUKUA HIYO
Nje ya mada kidogo.. kama hujui, ujue Ukiweka simu kwenye foil, ukazungusha vizuri kabisa, ukiipigia haipatikani CHUKUA HIYO
Restless Hustler JF-Expert Member Apr 9, 2017 4,752 18,056 Apr 25, 2024 #3 makaveli10 said: Nje ya mada kidogo.. kama hujui, ujue Ukiweka simu kwenye foil, ukazungusha vizuri kabisa, ukiipigia haipatikani CHUKUA HIYO Click to expand... Serious bro?
makaveli10 said: Nje ya mada kidogo.. kama hujui, ujue Ukiweka simu kwenye foil, ukazungusha vizuri kabisa, ukiipigia haipatikani CHUKUA HIYO Click to expand... Serious bro?
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 28,316 81,500 Apr 25, 2024 #4 Restless Hustler said: Serious bro? Click to expand... Jaribu, utanipa jibu. Chukua simu yako ikiwa on, iviringishe kwenye foil, vingirisha vizuuuri kabisa, halafu ipige, simu haipatikani ng'oooo
Restless Hustler said: Serious bro? Click to expand... Jaribu, utanipa jibu. Chukua simu yako ikiwa on, iviringishe kwenye foil, vingirisha vizuuuri kabisa, halafu ipige, simu haipatikani ng'oooo