Naomba tujadiliane hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba tujadiliane hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bombu, Jul 29, 2011.

 1. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina uhusiano gani katika utamani kingono? Utakuta mwanaume kwa mfano amemuona mwanamke mwenye makalio makubwa yakampelekea kutamani kuwa naye kingono. Je ni kweli kwamba tunachokitamani ndicho tunachotarajia kukipata au kuna falsafa nyingine hapa?

  Tusaidiane hapa
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hivyo ni vigezo yaani unavyoona ile outside appearance unaiweka akilini mwako pia kuwa hata ndani zaidi inaweza ikawa the same yaani akawa mzuri kvile vile kitandani
  Ila ni imagination tuu haina uhusiano wowote maana kuna ambao hawana hivyo vitu ila ni wazuri sana kwenye mambo mengine
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  wewe upo vipi?
  mnene?makalio makubwa?mrefu??????
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  TB mhhh hapo sasa una lako
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  sio langu.topic inahusu phisical appearance
  na yeye atupe physical appearance yake tuone labda anazungumza from personal experience
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  The Boss yuko kama wewe, hivi yule mgeni wetu ameishaonekana tena?? Lol
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Imagination na Infatuation kwa mambo kama haya ni mbaya maana you expect the unexpected
   
 8. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhhhh!!!.......Mimi napita tu..............:car:
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  hawezi kuwa kama mimi
  mimi nna ndizi,yeye ana sambusa lol

  mgeni yupi huyo?nna wageni wengi lol
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  uwai kurud lakin..
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hii ya ndizi na sambusa
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  TF nakuunga mkono maana hapo unategemea ukutane na malaika unakutana na shetani bora kujiendea kichwa panzi tuu hujui ni nini utakachokutana nacho
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Wageni wa kukaa au ni wale wa kuja na kuondoka
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  wewe unaangukia wapi hapo?
   
 15. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nitajitahidi my dear............Ila umeotea kweli Rose au ndo tunapishana tu humu jamvini?? Have a blessed weekend
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Aiseee!! Wewe ni matatizo matupu lol!!
   
 17. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145


  heheeee TB bwana mie niko kama namba moja, na wala si mrefu
   
 18. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani kuna uhusiano gani kati ya chakula na njaa.
  Na ndiyo hivyo basi kama njaa inavyokuja automatic, ndivyo na matamanio yanavyokuja.
  Na si kama mtu anakula anachopenda tu, coz matamanio yana nguvu zaidi juu ya hata usivyovipenda.
  Hujawahi kumsikia mtu akisema nina kiu ila kiu yangu haitomalizika kwa maji labda nipate juis.
  Mfano huo unatoa nguvu halisi ya matamanio.
  Sijuwi kama nitaeleweka ila nitakuja tena mida
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  kama wewe ni no 1
  basi wivu unakusunbua ukiona wenzio wanapata attention
  so ushauri wangu ,tafuta mchina ujiondoelee stress
   
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  ndizi tembo
   
Loading...