BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Mimi najiuliza hivi NHC wanafanyaga detailed feasibility study before embarking into those massive projects?
Tuchukue tu hizi nyumba ambazo wamejenga then wanauza m300!!! mimi hapa swali langu ni nani wame mtarget kunua hizi nyumba? Obvious ni middle class it means ni vijana wa Telecom companies, banks, lawyers etc.
Sasa swali linakuja je kijana kama huyu atatoa m300???? utasema atapewa mkopo je ni bank gani itampa huyu kijana m300 almost dola laki 2. Mishara ina range kutoka 1.5m to 4m bank nyngi zinatoa loan mara 10 ya mshahara ivyo tuki assume kijana analipwa m4 then mshahara mara 10 ni 40m.
Angalizo, ninachokiona NHC mtakuja ku default kwani nanyi hizo pesa mmekopa toka kwenye banks!!! lakini labda mseme tu how far have you archived with the existing projects in Arusha and Dar?? Naamini kabisa hakuna nyumba ambayo so far imenunuliwa.
Nawakilisha