Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 857
- 1,006
RAS-TANGA,
P.O BOX 5095,
TANGA.
YAH:MALALAMIKO YA KUTOLIPWA FEDHA ZA MATIBABU TANGU MWAKA 2016.
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi mtumishi wako wa Halmashauri ya Kilindi natoa malalamiko yangu kwako na naamini wewe ni mpenda haki kwa watumishi wako.
Mnamo mwaka 2016 niliugua na kupatiwa matibabu hospital za Kilindi,Bombo RH,Muhimbili.Nilipopata nafuu nikaandika barua ya madai baada ya kunitaka niwasilishe vielelezo kadhaa niliwasilisha na wakanijibu kwa barua mwaka 2016 kuwa ninastahili kulipwa shilingi 902000 lakini mpaka leo sijalipwa pamoja na kuwakumbushia mara kwa mara kwa barua na kunijazisha fomu za madai hayo kila mara.
Pia ninadai kiasi cha shilingi zisizozidi 670000 mapunjo ya mshahara tangu mwaka 2019 huu mwaka wa nne Sasa.Ni jumla ya miaka tisa nadai bila kulipwa morali itatoka wapi wakati nimetumia gharama zangu nyingine za kukopa?
Ombi langu Mh.RAS Tanga utaona barua hii na kulifanyia kazi wakati naandaa Safari yangu kwa miguu kutoka Kilindi mpaka Tanga huku nikiwa na mabango mwili mzima juu ya kilio hiki cha miaka tisa chenye dalili zote za kutosikilizwa.
Asante naomba kuwasilisha Jambo hili katika ngazi ya mkoa kuelekea ngazi nyinginezo ikiwemo Tamisemi.Naambatanisha barua hiyo.