Naomba sample ya barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri iliyo mkoa mwingine.

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,948
1,515
Wakuu,

Naomba mwenye nakala ya barua inayoonyesha mfumo mzima wa barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine.

Au layout nzima ya kuomba kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine bila ya kubadilishana na mtu.

Thanks in advance!
 
Bujibuji ahahaha,sawa mkuu,

aKuna mdogo wangu yupo Meatu,nataka nimsaidie aahamie Misungwi mwanza.

Hivyo taratibu za idara ya elimu sizijui

Ndio maana nikaamua kuja jukwaa la elimu kupata msaada.

Mimi umahiri wangu upo kwenye Injili au Siasa na siyo taaluma.

By the way,does our educational system in Tanzania ever teaches its students on how to write a letter like the one i have asked for on this thread?
 
Back
Top Bottom