Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

Kwani hili bandiko lako uliomba ruhusa kabla ya kupost?
 
Vita ni mbaya jamani. Tusishabikie damu kumwagika.
 
Israel hana ubavu wa kupigana na Iran labda USA ashirikiane naye.

Na wakigusa Iran mtaitafuta Israel ipo wapi badae.
 
Back
Top Bottom