Ujanja gani uliofanyika!? Wewe ndio hujui sasa halafu kwanza maeneo uliyoyataja hayo hayakuwahi kuwa Zanzibar bali yalikuwa himaya binafsi ya mfalme(sultani) wa oman yakijumuisha maeneo ya Lamu,Mombasa,Kismayo na Zanzibar pia Territory ikaenda mpaka Dubai huko..Kulichofanyika ni kwamba sultan akamuuzia mjerumani maeneo uliyoyataja hayo kwa pesa taslimu..
Hii haihalalishi hoja zako kwamba eti hayo maeneo yalikuwa part ya zanzibar Big Noo! Labda ungesema yalikuwa part ya Oman Sultanate na Zanzibar ikiwemo ndani
Pumba tupu, halafu bado unajiona unajua