Naomba ramani ya Zanzibar inayoonyesha kuwa Bagamoyo ni sehemu yake

Kuna wakati shirikisheni bongo zenu, msipayuke payuke.Hiyo ardhi walipewa kwa ajili ya kunenepesha ng'ombe kabla hawajaenda visiwani. Eneo la bandari itakapojengwa (kama ikijengwa) ipo mbali na eneo hilo la Zanzibar.Karibuni mjini, msije mkauziwa maeneo ya watu.
Sasa kama wameshindwa kunenepesha hao ng'ombe walirudishe. Ardhi ni ya Tanganyika sio ya Zanzibar.
 
Mkuu, nchi hii inachezewa na wanasiasa tokea Nyerere Hadi Hawa kizazi kipya. Ardhi hii inayomegwa Bagamoyo ni mkakati wa Zanzibar kupata mgao wa bandari itakayojengwa huko Bagamoyo. Nyerere should come back to life atwambie alikuwa na maslahi gani na huu muungano wa hivi
ni kweli ndo maana bandari ya bagamoyo inapigiwa promo ya nguvu kuanzia enzi JK.aulizwe huyu jk nn kilijiri?tuendako ni giza totolooo.
 
Tunaendekeza umalaya na udaku tu. Wenye kuona mbali wanakuja kujichotea tu.
Tukija kuamka ukanda wa bahari ya hindi wote wazanzibari watasema ni wa kwao. Kama kawaida tutabwata mitandaoni halafu maisha yataendelea kujadili matako ya Kajala.

Hii ni strategy ya muda mrefu, wanajimilikisha maeneo ya bara ili baadae wajitenge wakiwa na eneo kubwa.

Wazanzibari ni mithili ya mwanamke mdangaji, wameingia kwenye ndoa na mume mzee tajiri wakitarajia mavuno ya mali na urithi pale mume akifa.

Mapenzi hasa ya wazanzibari yapo Oman na sio Tanganyika. Muarabu ndie mume hasa wa mzanzibari. Tanganyika ni danga zee tu linalochunwa.
aiseee
 
Kiuhalisia kumbe bandari ya Bagamoyo inajengwa kwa manufaa ya Zanzibar😅😅 Basi serikali 3 aliyosema Wasira ni muhimu hakuna haja ya Muungano.
 
Usicho kijua ni kwamba hata bandari ya darisalama na tanga kihistoria zilikuwa sehemu ya Zanzibar ila ujanja ujanja tu ulifanyika hapo awali
Acha uongo wewe.
Kihistoria Sultani alipofika znz alikuta kunawenyeji wa pale. Yeye alikuwa na lengo la kutawala na akajiongezea makoloni kwakuwaalikuwa na nguvu hivyo alichukua kuanzia sofala paka pemba. ILa haikuwa maliyake. Lakini baadae aliuza coast yote na akabakiwa na visiwa vya unguja na pemba
 
Usicho kijua ni kwamba hata bandari ya darisalama na tanga kihistoria zilikuwa sehemu ya Zanzibar ila ujanja ujanja tu ulifanyika hapo awali
Ujanja gani uliofanyika!? Wewe ndio hujui sasa halafu kwanza maeneo uliyoyataja hayo hayakuwahi kuwa Zanzibar bali yalikuwa himaya binafsi ya mfalme(sultani) wa oman yakijumuisha maeneo ya Lamu,Mombasa,Kismayo na Zanzibar pia Territory ikaenda mpaka Dubai huko..Kulichofanyika ni kwamba sultan akamuuzia mjerumani maeneo uliyoyataja hayo kwa pesa taslimu..
Hii haihalalishi hoja zako kwamba eti hayo maeneo yalikuwa part ya zanzibar Big Noo! Labda ungesema yalikuwa part ya Oman Sultanate na Zanzibar ikiwemo ndani
 
Usicho kijua ni kwamba hata bandari ya darisalama na tanga kihistoria zilikuwa sehemu ya Zanzibar ila ujanja ujanja tu ulifanyika hapo awali
Wajerumani waliinunua pwani ya tanganyika kutoka kwa sultan wa zanzibar. Zanzibar haikuwa protectorate ya wajerumani bali waingereza. Hivyo ardhi yote ya tanganyika iliyomilikiwa na wajerumani ni ardhi halali ya tanganyika sio zanzibar. Waingereza walipata nafasi ya kuitawala tanganyika mwaka 1919 baada ya wajerumani kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoshangaza ni kuwa hiyo michezo mnafanyiana na wamatumbi wenzenu waliotoka huku huku kwenda kuanzisha makazi Zanzibar.
Inawezekana hao wamatumbi wanajimilikisha ardhi kubwa kiaina kupitia mgongo wa SMZ wakijua hatimaye watarejea “nyumbani” wakiwa makabaila wa kutisha kama kina Kenyatta hapo KQ. Manake nchi yetu yenyewe hii sheria zinapindishwa kila wakati na kila upande!
 
Wanao sema kwamba bagamoyo, dar es salaam na Mombasa ilikua Zanzibar waweke uthibitisho wa maneno yao, sio kuleta maneno matupu yasiyo na uthibitisho kama wanaimba ngonjera
 
Eneo lote la kiudongo lilikuwa mali ya sultan na alimuazima tu muingereza
IMG_20230602_124333_051.jpg
nyakati hizo
 
Huu muungano umekaa kinafiki mno.

Hawa kina ami cholo ni wabaguzi kupita maelezo, wanachukia wabara lakini wakija bara wanataka kila kitu.

Sasa hivi wamekuwa mithili ya mama wa kambo ambae mumewe amekufa na sasa anataka kuhodhi mali zote za mume bila kuwapa watoto wa mume.

Huu upuuzi ni mwanzo wa ujinga mwingi mno utakaokuja. Ni sasa wanauthutu sababu wana baraka na ulinzi wa aliekuwa juu.

Ifike wakati sasa kila mtu abaki na kwake. Muungano huu wa manufaa kwa upande mmoja hatuutaki.
Huu sio muungano, ni uchafu
 
Huu muungano umekaa kinafiki mno.

Hawa kina ami cholo ni wabaguzi kupita maelezo, wanachukia wabara lakini wakija bara wanataka kila kitu.

Sasa hivi wamekuwa mithili ya mama wa kambo ambae mumewe amekufa na sasa anataka kuhodhi mali zote za mume bila kuwapa watoto wa mume.

Huu upuuzi ni mwanzo wa ujinga mwingi mno utakaokuja. Ni sasa wanauthutu sababu wana baraka na ulinzi wa aliekuwa juu.

Ifike wakati sasa kila mtu abaki na kwake. Muungano huu wa manufaa kwa upande mmoja hatuutaki.
Ndio maana kwenye Rasimu ya warioba wao walipendekeza uwepo muungano wa Serikali tatu !!
 
Sisi na Zanzibar Ni kitu kimoja. Wewe huoni rais wa Zanzibar ameishi na kufanya kazi Tanganyika lkn kirahisi tu ameukwaa urais wa kule. Hata wewe ukiwa mvumilivu Kuna siku utakua mkuu wa wilaya Pemba.
 
Acheni upuzi, eneo ambalo serikali ya Zanzibar ni mali yake, ni eneo ambalo serikali hiyo inamiliki kupitia chuo cha kilimo cha huko Zanzibar, ni eneo wanalotumia kufanya shughuli ya kufunzia kilimo kwa wanafunzi wa chuo cha kilimo cha huko
Mkuu kwani Ardhi sio swala Muungano?
Tangu lini Zanzibar ikawa na mipaka?
 
Back
Top Bottom