Askofu Dr Gamanywa: Kwa ramani ya kale 1/3 ya Saudi Arabia, 1/2 ya Iraq, Syria yote, Jordan yote na 1/2 ya Uturuki ni Eneo la Israel!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,083
Askofu mkuu wa BCIC Dr Gamanywa amesema ukifuatilia mipaka ya Nchi iliyomo katika ramani ya kale Israel ina eneo kubwa sana kama nchi

Dr Gamanywa anayeendesha Kipindi cha " Ijue Israel" pale WAPO RADIO amesema one third ya Saudi Arabia, half ya Iraq, Syria yote, Jordan yote na half ya Uturuki kwa mujibu wa mipaka katika ramani ya kale ni maeneo ya Israel

Source: Shalom Tv

Nawatakia Sabato njema 😀🌟
 
Askofu akae kimya.
Azungumze amani na siyo kuongeza uchochezi
 
Inaonesha vipi?
Yeye anasema zamani ya lini. Maana zamani ni neno la jumla.

Maana ninachofahamu Ibrahim kwenye biblia alikufa anamiliki kiwanja sio nchi. Alichokinunua ili amzike mkewe. Pengine alikuwa anajikalia tu kwa sababu hapana watu.

Ukisema kaanani baada ya wana wa israel. Pale Mungu aliamrisha uporaji wa ardhi kwa kuua wahusika ili hao waisrael wakae. Kulikuwa na majiji makubwa kama Ai, Yeriko etc.
 
Kuna tofauti Kati ya Zamani na Kale

Yeye amesema ramani ya kale
 
Back
Top Bottom