sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 330
- 627
Dah kumbe tupo wengi, ujue huu ugonjwa wengi sana tunaumwa ila hatujui tu na ndomana siku za karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaanguka tu wanakufa inamaana hawa walikuwa wanatembea na korona bila kujijuaBoss naomba tips kidogo. Kusema kweli sijisikii vizuri.
Ushimen my nizzle for shizzle, MUNGU aliye mwingi wa rehema hakika atatuhifadhi kwa pendo lake lililo kuuKwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me moree darlingMiss you maa
Comandante, you will survive and come back stronger.Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yeye, huoni ya kwanza nimechat nae kipindi cha nyuma kabisa, siwez kudanganya, huyu ni jamaa yangu sasa hv simu haipatikani
Nimeongea nae japo si kwa muda mrefu, yuko okay endeleeni kumuombeaHebu ongea nae utupe mrejesho mkuu, hizi dalili siyo nzuri
Nimeongea nae, hajaniambia nini tatizo, tuliahidiana kuongea tena usiku.....msiache kumuombea na tuombeane woteUshimen tumetoka mbali sana,tujuze nini tatizo
Asante sana best tuzidi kumuomba Mungu maana hali ni mbaya kweliPole sana Tojo
Hata mm situation ndio Kama hiyo nikivuta pumzi nakohoa,mafua ,siskii harufu ya kitu chochote,uchovu bila kufanya kaziNilikua nikivuta pumzi nasikia kukohoa hili ndio lilinipa shaka zaidi
Mkuu kama una nafasi hiyo jitahidi kumjenga aondoe hofu maana ana dalili za kukata tamaa. Hofu ni zaidi ya ugonjwa, nasi kwa nafasi yetu twaendelea kumsihi Mungu amponye.Nimeongea nae, hajaniambia nini tatizo, tuliahidiana kuongea tena usiku.....msiache kumuombea na tuombeane wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikua sina mafua.. ila koo na kifua mdio vilinitesa. Nikilala ndio linazidi kutaka nikohoe.Hata mm situation ndio Kama hiyo nikivuta pumzi nakohoa,mafua ,siskii harufu ya kitu chochote,uchovu bila kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi mkuuMkuu kama una nafasi hiyo jitahidi kumjenga aondoe hofu maana ana dalili za kukata tamaa. Hofu ni zaidi ya ugonjwa, nasi kwa nafasi yetu twaendelea kumsihi Mungu amponye.
Sent using Jamii Forums mobile app