Naomba niwaage

Mkuu pole sana. Ilikuwa ni corona au ni ugonjwa mwingine. Tafadhali share zaidi experience yako ili watu wengine wajifunze. Unajua hapa tuko mberes wengi na hii corona ni lazima itapata baadhi yetu au imeshapata.
 
Ushimen punguza woga mkuu.
Hiyo kitu dawa yake ni kuwa active.Usilale ovyo ovyo.Be active as if unapambana vita.
Sali kwa Mungu.Make sure eneo lako la isolation ni safi mno halina vumbi wala feni au kiyoyozi kinachowaka.
Kula vizuri sana.Alternate vipindi vya kupumzika na kusimama,kutembea,especiaally ukisikia kifua kinabana.
Tumia malimau,tangawizi,muarobaini n.k unywe huo mchanganyiko kama chai haswa nyakati za usiku.
Hali ikiwa ngumu jaribu kuestablish connection upate ile dawa ya Madagascar.
Pole sana ila usihofu.Ukiona watu tunakusimulia hivi ujue tupo wengi kama wewe,tunapambana na kuelekezana uzoefu.Wengi tu kama sie wa medical industry tumepambana na dalili zenyewe kabisa yaani ila Mungu ametusaidia hadi now nafuu.
 
Hospital ukipimwa ukakutwa na corona nako ni kubaya sana. Wengi wanalalamika mno. Ndiyo maana wengi wameishia kufia nyumbani.
 
Ushmen mbona huongei sasa.utakuja kufa kweli embu sema neno sasa

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Uzi unasema,"Sina chaguo Kati ya kuishi au kufa"
Naogopa, moyo wangu una hofu kuu, nipo ugenini na hata baada ya kumaliza kilicho nileta huku pia sinto kuwa na namna ya kujumuika na familia yangu tena (mke na watoto wangu) hadi pale nitakapo jiridhisha na kuthibitika kwamba sija ambukizwa na hata kama nitakuwa positive basi bilashaka nitalazimika kuishi kama wale ama nawale.
Ni mmoja kati ya tunao fanya nao hili.

Alionekana mwenye hofu na alichukuwa tahadhari zote kama ilivyo takikana.

Alipaa na mwewe hata kwenda kwenye moja kati ta vikao vizito kwaajili ya kazizetu hizi.
Baafa ya siku moja, alirejea na ghafla akaanza kujisikia vubaya.

Mwenzetu mmoja alimpeleka hospital na baada ya vipimo alipatikana na joto la mwili likiwa zaidi ya nyuzi joto 45.

Hali hiyo ilipelekea kupumzishwa na kuchukuliwa sampuli kwaajili ya kwenda Dar kwa vipimo na jana majibu yalirejea akiwa positive, na tayari yupo kule ambapo wengine pia wametengwa.

Inasikitisha sana hasa ninapo mtazama yule aliye chukuwa tahafhari kubwa zaidi ya mimi, lakini tayari ameuguwa.
Ni mtu tulikuwa nae mara kadhaa asubuhi hata jioni, ingawa hatukuruhusu kushukana mikono lakini pale ofisini pake palikuwa na maji na sabuni, na pia alitumia sanitizer kila alipo gusa chochote.

Kwa siku mbili mfululizo alinibeba na gari lake akinirudisha hotel nilipo fikia kwaajili ya mapumziko.

Yes tulizaliwa ili tuishi na kisha tukufe. Pamoja na kwamba ninatambua kwamba nitakufa, lakini ukweli sijioni kama nipo tayari kukufa ama kwa lugha nyepesi hata sina haraka ya kutangulia huko.

Anyway, kikubwa ninawasihi tena mchukuwa tahadhari wakuu maana hii kitu inaogopesha mwili na roho. Pia unapo patwa na hali kama hii hata furaha hutoweka na sura hukosa nuru.

Kwakuwa sijajuwa hatma yangu, basi nimeamua kuzidi kuchukuwa tahadhari na nimeamua kutumia vitu ninavyo shauriwa na wataalam ili kuingeza vitamin mwilini inayo pambana na hili tatizo.

Mengine, nimeamua kumuachia Mungu maana yeye ndiye alie niumba na anaijuwa kesho yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani Pole jamani, ninini mbaya? Tunakuombea upone urudi tuendeleze hii familia yetu kubwa ya JF.
 
asante
 
Mkuu tunaomba mbinu ulizotumia
 
Asee bro kama uko serious unaumwa basi kikubwa cha kuanza nacho ktk hayo mapambano ya kutetea pumzi ni kujenga confidence ya ushindi, ukijipa hofu ilopitiliza hyo ndio itakuondoa na wala si huo ugonjwa wako. Kuwa strong mwanaume kaza kwa kuamini utashinda!! Mungu mmoja yu nawe atakushindisha pamoja na hatua mbalimbali za kitabibu unazochukua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…