Yeah ndio huo huo. Unaubabua ili kuondoa utomvu..
kwenye avatar yako naona kuna mnyama mbaya raymond redingtonNikuombee afya njema mkuu. Nimekusamehe.
Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa haubagui vyama
Hamna matibabu ya Corona weweDuh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!
Tuombeaneni tu wakuu maana watu wanaumwa.... Mm nna week Sasa naumwa napambana tu na malimao ,Kuna muda hofu inanijia mpaka nataka kukata tamaa Ila Mungu ni mwema bado napambana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inukuu hiyo post mkuu.Angalia post yake siku mbili tatu nyuma,kaeleza alikuwa Safari kikazi Sasa yule aliekuwa akimuendesha kapata corona na akafa,,so akaeleza na yeye Ana hofu kapata,
So leo amekuja kuconfirm kuwa he is fighting to survive
Itakua ni Singida hukoYeah ndio huo huo. Unaubabua ili kuondoa utomvu..
Tumeutumia sana kijijini kwetu
KigomaItakua ni Singida huko