Kwa maelezo hayo ya mate wako , na mambo ya jeshini enzi hizo nimeng'amua yafuatayo ;
_wewe Ni mtu mzima 45+ (enzi mnaenda jeshin ni kitambo kidogo ndo ikarudishwa tena majuz, mate wako ana mtoto yupo chuo ,,, reference zinatosha)
_hujaolewa mpk mtu aje akuimbie jukwaani? (sorry kwa swali hili lakn)
Ni wimbo ule ule alikuimbia au enz za jeshi au ?
Yeye Ni mtumbuizaji au Ni coincidence tu ?
Mimi iko hapa jumbani yangu, ngoja veve Abdullah iko kichwa wazi kabisaBuuujiiiiiii
Vapi vevee bujii mimi hapana ona veveee
Nani naficha vevee...???
Joo bana hapana fichana 😅😅😅
Mimi iko hapa jumbani yangu, ngoja veve Abdullah iko kichwa wazi kabisa
Huo mwezi mmoja unanitosha kumpindua Jordan nifanye umsahau kabisaSijaolewa, kuhusu nyumba hata mie nna kwangu na nnaviwekeza vyangu na akiba yangu.
Si vingi lakini vinanifanya nisiwe ombaomba kwa jinsia ya kiume.
Sana nikiwa nae tunazeeka pamoja zaidi ya kuchuma mali.
Nimemwambia anipe mwezi mmoja nijitarakari, ntawezana..!!? Maana mimi nami mmmhhh nna mambo!!🤪
Vile najijuanga, kibibi Matata.
Tumezipokea salamuWale wa 834KJ...nawasalimu.
[emoji6][emoji854][emoji6][emoji854]
Thanks kasie mahaba ,,,,!!!1. Yes niko kwenye 50+ na Jordan ana watoto 2 wote wako chuo.
2. Yes sijaolewa, hii ni mara ya pili ananiimbia jukwaani. Mara ya kwanza tukiwa chuo na hii ya pili jana kwenye love band na aliimba wimbo uleule aliouimba jeshini. Nimeuweka video lyrics zake hapa kwenye uzi.
3. Hapana yeye ni mkurugenzi taasisi flani ya uma, tangu atoke jeshini aliajiriwa taasisi za serikali tuu. Mziki na kucheza ni vitu anapenda tangu tuko jeshini.
[emoji58][emoji58]nasaha za bibiCheza karata zako sawia, si mara zote wakati hujirudia.
Kibibi hebu zeeshaneni na kibabu Jordan😂
Hivi hii ni true story kibibi Kasie Mahaba?, kwahiyo yule babu mwingine utamuacha?, napendaga stories zako.
Mawazo hasi hayooooFursa hiyo wahi kam naww hujaolewa lakini ushauri wa bure kama unawatot. Na ww ufanye kila namna ajenge nyumba yako. Na watoto uliokuwa nao maan hiy. Ni yq watoto wa marehemu siku wakichaguliwa unafukuzwa na has hii inatokea pale mume kafariki over take tension kwa hili