Naomba Nipate Lau Nafasi: Mahaba

Naomba Nipate Lau Nafasi: Mahaba

Sijaolewa, kuhusu nyumba hata mie nna kwangu na nnaviwekeza vyangu na akiba yangu.

Si vingi lakini vinanifanya nisiwe ombaomba kwa jinsia ya kiume.

Sana nikiwa nae tunazeeka pamoja zaidi ya kuchuma mali.

Nimemwambia anipe mwezi mmoja nijitarakari, ntawezana..!!? Maana mimi nami mmmhhh nna mambo!!🤪
Vile najijuanga, kibibi Matata.
Jambo jema na kheri njema na kuzeeka kwa mipango mizur maisha marefu
 
Kwema kabisa..... naona uliikimbia ubavu wako hatimaye umerudi tena baada ya miaka 20.

Un'gan'ganie usije ukauachia.

Daby yaani kama muujiza hivi ila ndo hivyoo jana tumekutana tena....

Sitaki kuung’ang’ania sana yake nataka tuelewane kisha tuzeeke pamoja.

Naomba Mungu tuu bange zangu zisiibuke kichwani...😜😜😜
Nisijenikamchezea shere...
 
🎵 Nje.. nje.. nje ndani,
Popote kambi babu weka maskani,
Nje nje nje ndani,
Kama ipo ipo tu kitu kimiani...!🎵

Baanaaa, sijaipata tone ya wimbo weka vocal bathii....
 
Baanaaa, sijaipata tone ya wimbo weka vocal bathii....
Hahaaa nikajua we ni mkongwe kwenye gemu? Hiyo ni ngoma ya "babu" inspekta haroun inaitwa "nje ndani" itafute 😀😀
 
Umenikatisha tamaa uliposema story ndefu, sijasoma.
 
Kama humtaki namuomba .napenda sana wahenga tena alofiwa na mke mzuri kweli


Looh kumbe ana soko acha nioge nimpigie simu tuonane leo tuweke mikakati 😅😅

Ngoja ntamuuliza kama anamgane anamfahamu tukuunganishe ahahahaaa.
 
[emoji58][emoji58]nmegundua nisiwe na wenge la mapenzi saivi kumbe ata nkiwa kibabu ntakuwa na nafasi bado


Eehehehehehee angalia usijefurahishwa na wakati....

Wakati ukuta..
 
Hahaaa nikajua we ni mkongwe kwenye gemu? Hiyo ni ngoma ya "babu" inspekta haroun inaitwa "nje ndani" itafute 😀😀

Looh mi nazikumbuka zile za kula ugali na kulumangia kwa kachumbarii..

Ntaenda itafuta hiyo ya nje ndani.
 
Kwa maelezo hayo ya mate wako , na mambo ya jeshini enzi hizo nimeng'amua yafuatayo ;

_wewe Ni mtu mzima 45+ (enzi mnaenda jeshin ni kitambo kidogo ndo ikarudishwa tena majuz, mate wako ana mtoto yupo chuo ,,, reference zinatosha)

_hujaolewa mpk mtu aje akuimbie jukwaani? (sorry kwa swali hili lakn)

Ni wimbo ule ule alikuimbia au enz za jeshi au ?

Yeye Ni mtumbuizaji au Ni coincidence tu ?
 
Yaani hapa nna kimuhemuhe.....

Jordan kaniachia sparks aka cheche za Mahaba Aahahahahaa.
Kama nakuona ny**ge hadi kwenye masikio 😂😂
Bibi unamambo wewe.....
 
Back
Top Bottom