Naomba nikupe zawadi

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,551
Reaction score
9,032
Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante.

Nikasimama nikaondoka.Hiyo ni miaka 30 iliyopita.Leo nikiwa rockcity nimepumzika baada ya kufanya manunuzi,nasubiri usafiri namuona mama mmoja anatembea polepole akishikiliwa na dada mmoja ambae nahisi ni mwanae.Yeye wala hakunijua ila mimi nilimtambua,wakanipita wakaa kwenye hilohilo benchi nililokaa,huku wanaongea.

Nikamsalimu Fortu hujambo?Akageuka kunitizama,baada ya dakika kama 3 hivi akanitaja jina,basi sote tulitoka machozi,yule binti akabaki kututizama
 
Hahaha mzee wangu huna dogo
 
Naomba nikupe zawadi ya uchi leo🥺🥺🥺
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…