lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 716
- 1,590
Hahahah, huwa inaogopesh yan aje tu direct bila chenga wee
Hahahah, huwa inaogopesh yan aje tu direct bila chenga wee
Hata sijui why nilikataa japo kipindi hicho nilikuwa sina msamaha na nyuchi iwe ya mlemavu au muuza mikaaHahahah, huwa inaogopesh yan aje tu direct bila chenga wee
Nakataaa mwanzoni kwenye mchakato ila ikifika hatua sasa naiona hii hapa itabidi nile tu ntafanyaje sasa
Mimi za hivyo nilizila mno ila ya huyo dada roho ilisitaNakataaa mwanzoni kwenye mchakato ila ikifika hatua sasa naiona hii hapa itabidi nile tu ntafanyaje sasa
Ila nae kumla demu kwa sababu alikua na kipengele kilichomshinda nae inataka moyo flan wa farao.Kuna shida inamkuta mtu na haanini kama anaweza kutokea mtu kumsaidia,bila masharti,anaweweseka.Nami japo kipindi hicho nikikuwa sina msamaha na nyuchi,huyo mdada nilisita kumla
Bro mimi kipindi hicho nikiishi na dada yangu niliwala mademu mpaka dada yangu alikuwa akiniita mbwa,maana nilipita na marafiki zake wote,madada wa kazi wote,wauza michicha,wafanya kazi wa dukani kwake yaani mimi nikisikia tu harufu ya demu,mheshimiwa wa kwenye chupi alikuwa ananiambia nipe huyoIla nae kumla demu kwa sababu alikua na kipengele kilichomshinda nae inataka moyo flan wa farao.
Hapo lazima uingie upepoHawa wanawake wa ckuiz wamekauka nyuso hawana soo kbsa😂
baada ya kusoma story yako nimejikuta na mimi natokwa na machozi 🥹Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante.
Nikasimama nikaondoka.Hiyo ni miaka 30 iliyopita.Leo nikiwa rockcity nimepumzika baada ya kufanya manunuzi,nasubiri usafiri namuona mama mmoja anatembea polepole akishikiliwa na dada mmoja ambae nahisi ni mwanae.Yeye wala hakunijua ila mimi nilimtambua,wakanipita wakaa kwenye hilohilo benchi nililokaa,huku wanaongea.
Nikamsamu Fortu hujambo?Akageuka kunitizama,baada ya dakika kama 3 hivi akanitaja jina,basi sote tulitoka machozi,yule binti akabaki kututizama
Hivi unajua buku bee ya wakati huo ilikuwa na thamani gani?Anakupaje zawadi ya jagina ambayo ukienda Mrina ziko hadi za buku bee 😀
yaani we acha tubaada ya kusoma story yako nimejikuta na mimi natokwa na machozi 🥹
Kitendo chako ni cha kiungwana. Hapo ulionyesha kweli ulimsaidia kutoka moyoni.yaani we acha tu
Hatari sana!Bro mimi kipindi hicho nikiishi na dada yangu niliwala mademu mpaka dada yangu alikuwa akiniita mbwa,maana nilipita na marafiki zake wote,madada wa kazi wote,wauza michicha,wafanya kazi wa dukani kwake yaani mimi nikisikia tu harufu ya demu,mheshimiwa wa kwenye chupi alikuwa ananiambia nipe huyo
Ukipewa zawadi chukua uifumue kisawasawa!
Za kuambiwa unachanganya na za kwako...Ukipewa zawadi chukua uifumue kisawasawa!
Nimegomaaaaa kuchanganya nazangu nazibeba kama zilivoooooZa kuambiwa unachanganya na za kwako...
Huyo miaka 30 back naye ni wa siku hizi?!!Hawa wanawake wa ckuiz wamekauka nyuso hawana soo kbsa😂