Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Habari zenu ma-technician wa jf! Miye ni mwanagenzi katika tasnia hii ya technologia lakini nina ndoto hapo baadaye kuwa na blog au website. Nawaomba mnijuze tofauti kati ya blog na website? Je, zina faida gani hususani kiuchumi? Ipi ni nzuri ki-advance levels? Kuna tofauti ya kufaidika na matangazo na kati blogs na website? Ni hayo ndg zangu, natafurahi saana kama nitajuzwa NATANGULIZA SHUKRANI!