mtume mwamediii, yani nilpoona hii avatar nikajua mpwa alishakuja kusalimia, Loh.Karibu sana. Hiyo avatar ni picha yako? Usisahau nimekuwa wa kwanza kukukaribisha.
Karibu sana. Hiyo avatar ni picha yako? Usisahau nimekuwa wa kwanza kukukaribisha.
Si ya Kwangu. lakini size ya umbo langu ni kama uonavyo.
Nashukuru kuwa wa kwanza kunikaribisha. Sitakusahau.
Kwani kuna issue yoyote mtu akiwa wa kwanza kukukaribisha?
Mimi mgeni naomba nielemishwe.
hahahaaa, asante ya mdomo inaongezewa na SENKSI, check kitufe hapo chini!!.Asante sana George.
Kumbe ni Mpwa wako?
Hahaha! Huwezi jua mipango ya Mungu. Si umeona G_P alivyoingia kwa kasi? Mtu wa kwanza kukukaribisha anaheshimiwa kama mwanamke anavyomheshimu mwanamme aliyembikiri. Hahaha! LOL!
Hahaha! Huwezi jua mipango ya Mungu. Si umeona G_P alivyoingia kwa kasi? Mtu wa kwanza kukukaribisha anaheshimiwa kama mwanamke anavyomheshimu mwanamme aliyembikiri. Hahaha! LOL!
Ndiyo issue ipo, nayo ni kwamba, unatakiwa kuvunja naye amri ya 5+1 kila weekendSi ya Kwangu. lakini size ya umbo langu ni kama uonavyo.
Nashukuru kuwa wa kwanza kunikaribisha. Sitakusahau.
Kwani kuna issue yoyote mtu akiwa wa kwanza kukukaribisha?
Mimi mgeni naomba nielemishwe.
dah mpwa sikuwezi, hishma mbele, BTW nimekugongea!.Hahaha! Huwezi jua mipango ya Mungu. Si umeona G_P alivyoingia kwa kasi? Mtu wa kwanza kukukaribisha anaheshimiwa kama mwanamke anavyomheshimu mwanamme aliyembikiri. Hahaha! LOL!
Chrispin-nina mazungumzo na wewe baadaye
karibu Big Lady...mi ndo babu yenu hapa jamvini wakikuchokoza uje kuwasemelea kwangu
Mmmh makubwa mie Big Lady. Mbona mnaniogopesha jamani!
Na hiyo mipango ya Mungu ni ipi?
usiogope, toa basi mikono hapo kifuani nikuone vizuri if posibo nikufotoe!.Asante Kigogo;
Kwani kuna kuchokozana tena jamani?
Ila kama naogopa vile babu maana wengine wanavyonikaribisha!
Mmmh, mpaka Big Lady naanza kuogopa mwaya.
warmly welcome!.Asante tena George.
Ndiyo issue ipo, nayo ni kwamba, unatakiwa kuvunja naye amri ya 5+1 kila weekend