Naomba nifahamishwe kama inawezekana

Naomba nifahamishwe kama inawezekana

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,011
Habari za mchana wakuu Nina cm 2 Samsung Galax s4 yenye version ya 4.4.4 ya pili huawei y 360 zote nmezifanyia rooting sasa nilikua naomba jinsi ya ku upgrade version niende kwenye 5.0 asanteni

Sent from my HUAWEI Y360-U31 using JamiiForums mobile app
 
Sasa umeroot ili iweje hasa hiyo s4? Taja full model ya s4 upewe firmware ya lolpop
 
Hiv inakuaje mtu unaweza kuroot simu lakini ukashindwa kuugrade!!?
 
Back
Top Bottom