Naomba mwenya CV ya Nape Nnauye

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,997
10,627
Wanajamvi naomba mwenye wasifu wa katibu wa uenezi na itikadi wa CCM Bw. Nape Mnauye anirushie.Maana nimekuwa nikifuatilia hoja na kauli zake nashindwa kumwelewa kabisa, ni porojo tu. Msaada please.
 
ndugu zangu naomba kumfahamu Nape Nauye ninani katika Taifa letu la Tanzania maana kila siku yeye kwenye ziara za ndani ya Nchi mala Rukwa Songea Iringa sasa kwenye vyombo vya habari anaziara kibaya zaidi kila siku lazima ukifungua glob fulani lazima ukute ziara yake mbona hao waliopita walikuwa hawafanyi hivi au ndiyo kukiimarisha chama?Mbona katibu mkuu yeye hatembei hivi na nimgeni kama Nape?Anatoa matamko kama msemaji mkuu wa chama hii ni hatari au alikuwa anaisubiri post hii kwa hamu kubwa ili atoke kisiasa?
 
NApe NNauye ni fisadi wa siasa,
Anatafuta Urais 2020,
anaropoka bila kufikiri,
.....
...
wengine endeleeni
 
Huyo nape ni kama vuvuzela kelele zake haziwezi kuleta mabaliko yoyote ya kiuchumi, au ahueni kwa mtanzania kwani hana wadhifa wowote wa maamuzi.
 
hivi utumishi serikalini kashastaafu? naona sasa anashughulika na chama. katiba inayompa Mh rais madaraka ya kuteua watu kushika nafasi tofauti tofauti za kichama mara serikalini nadhani ni mbaya sharti ibadilishwe kungali mapema
 
Profesa chachage alisema uprofesa bila mchango wa maana kwa ya jamii ya watanzania ni Bure. Sasa CV ya Nape ukijua itasaidia nini hata kama ana PHD 10? Uwezo wa Nape kiungozi na Busara yake nazijua. Sihitaji CV yake kwa sababu haibadilishi imani yangu kwake.
Ninachojua alipokea pesa za EPA toka kwa Jitu Patel. Full stop. Mwizi ni Mwizi hata kama ni profesa.
 
Wanajamvi naomba mwenye wasifu wa katibu wa uenezi na itikadi wa CCM Bw. Nape Mnauye anirushie.Maana nimekuwa nikifuatilia hoja na kauli zake nashindwa kumwelewa kabisa, ni porojo tu. Msaada please.

CV za wanasiasa wa kiafrika wala zisikutishe ni utumbo mtupu kwani akili zao hata wasomeshwe mbinguni ni ufisadi tuu. Chenge kasoma Harvard, Kigoda kasoma Vanderbilt...lakini angalia madudu walioyafanya?
 
Back
Top Bottom