Naomba mwenya CV ya Nape Nnauye

Nafikiri huelewi maana ya CV!CV inaonyesha mambo mengi zaidi ya masuala ya elimu.Kwa mfano Jina kamili,tarehe halisi ya kuzaliwa,wapi alizaliwa,kabila lake,uzoefu wake katika shughuli mbalimbali,anapendelea mchozo gani,anaweza kuzungumza lugha gani na lugha gani hawezi!mambo yote hayo na mengine yakijumuhushwa ndiyo tunapata CV.Sasa kuna ubaya gani watu kuulizia CV ya mtu?kwa nini watu wakiuliza CV ya mtu hujengeka hisia kuwa watu wanataka kujua kama amesoma au hajasoma wakati CV huonyesha masuala mengi?Tubadilike jamani,tuache fikra potofu!!!
Umenena mkuu TUKUTUKU,natamani nikutwange na Thanks lakini ilishayeyuka.

Nimekukubali kinoooma kwa comment yako....

profesa chachage alisema uprofesa bila mchango wa maana kwa ya jamii ya watanzania ni bure. Sasa cv ya nape ukijua itasaidia nini hata kama ana phd 10? Uwezo wa nape kiungozi na busara yake nazijua. Sihitaji cv yake kwa sababu haibadilishi imani yangu kwake.
Ninachojua alipokea pesa za epa toka kwa jitu patel. Full stop. Mwizi ni mwizi hata kama ni profesa.

Tukifanikiwa kuwazuia waropokaji km akina nape bai nchi inaweza kusonga kidogo lkn tatizo haliwezi kuisha kwa sababu kila mwaka ccm inazalisha waropokaji km akina makamba na wenzake

Ana degree ya politics ya wk 2 kutoka beijgin na vilevile ana masters ya ccm ya chamwino ya wk 1 na dessertation ya siku 3

BILA KUSAHAU ANAPIGA ALA ZOOOTE ZA MUZIKI,KASORO GITA LA BESI SO NI MSANIII PLUS PLUS! AKITOKA CCM ANAINGIA NGWASUMA TEHETEHETEHEEE

hajawahi kufika chuo kikuu chochote,

hata kuutubia tu!

LABDA DEGEREE YA NDOMBOLOO NDOMBOLOONDOMBOLO NA VIDUKU! MAKE ANAGONGA ALA ZOTE ZA MUZIKI HUYU MTU

Kweli maishani usiombe uwe kiongozi ovyo! Utadharaulika kweli kweli!

UNGESEMA KIONGOZI HOVYO ANAEONGOZA WATU MAKINI LAZIMA WAKUDHARAU ATII!!! AF HUU UKATIBU WENEZI WA CCM UNABIDI MTU AWE WA SHOTISHOTI HIVI EEE KAMA BABU MAKAMBA,SIIVII YAKE ANAIJUA MWENYEWE NA SISIEM ILA KWA WENYE AKILI MAONGEZI MAJIBU YAKE ILITOSHA KUTUJULISHA SIIVII YAKE ILIKUWA YA HOVYO KIASI GANI !! HICHO CHEO IN SHORT CHA KISANII NA KIROPOKAJI TUUU

Inasemekana Ni mtoto wa nje ya ndoa wa mzee Mnauye,(KAMA NI KWELI ) ALIZAA NA MAMA MMOJA WA IRAMBA MAENEO YA IAMBI JINA LAKE NI Napegwa

yaani Mungu amenipa ! haijulikana kama mzee alimtunza kwa hiari au kupitia ustawi wa jamii!

HAHAHAHAAAAA HII NIMEIPENDA!! SO HE IS FROM SINGIDA?

He is a fool, anachoongea hadharani ni upupu mtupu ambao anauelewa yeye na mama yake tu

nasikia akiwa mdogo alifanyiwa molestation ndiyo maana akili zake haziko sawa kichwani

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom